×

Tag: CHADEMA

Sugu Azungumza Baada ya Kuachiwa Kutoka Gerezani

MBUNGE wa Mbeya Mjini (Chadema), Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ ambaye ameachiwa huru leo Mei 10, 2018 kutoka katika Gereza la Ruanda...

READ MORE

Breaking News: Sugu na Masonga Waachiwa Huru

Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Nyanda za Juu Kusini, Emmanuel Masonga wameachiwa huru kutoka...

READ MORE

Chadema Wakanusha Lissu Kuerejea Nchini

Chama cha Demokrasia na Maendeleo kimekanusha taarifa zinazoendelea mitandaoni kuhusu uwezekano wa kurejea nchini kwa Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho,...

READ MORE

CHADEMA: Siyo Trilioni 1.5 Tu, Kuna Fedha Kibao ‘Zimepigwa’ – Video

Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimefanya mkutano na waandishi wa habari na kuudai kwamba ukiachilia mbali kiwango za zaidi...

READ MORE

VIONGOZI CHADEMA WAWASILI SENTRO

KATIBU Mkuu wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Vincent Mashinji na viongozi wenzake ameripoti katika Kituo Kikuu cha Polisi...

READ MORE

SAKATA LA CAG: POLEPOLE AONYESHA SH. TRILIONI 1.5 ZILIPO

  KATIBU wa Itikadi na uenezi Chama Cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amewashutumu baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Wawasili Polisi – Video

  Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe na wenzanke wameripoti katika Kituo Kikuu cha Polisi Dar es salaam leo ikiwa...

READ MORE

Tundu Lissu Apasuliwa Tena Mguu, Atoa Kauli

MBUNGE wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu amesema kwa amara nyingine tena, leo Aprili 11, 2018 ataingia kwenye chumba cha...

READ MORE

Mtulia: Nimeingia kwa Dirisha Dogo Bungeni – Video

Mbunge wa Jimbo la Kinondoni, Maulid Mtulia ametoa ushari kwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA) ambacho ni Chama kikuu cha...

READ MORE

Cecilia Pareso: Futeni tu Vyama vya Upinzani Kama Mnataka – Video

Mbunge wa Viti Maalum Chadema, Cecilia Pareso amesema kama serikali ina lengo la kuwabana na kuwanyima haki wapinzani, basi ni...

READ MORE

JOHN HECHE AUNGANISHWA KESI YA AKINA MBOWE

MBUNGE wa Tarime Vijijini (CHADEMA), John Heche amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu leo Aprili 5, 2018 kisha kusomewa...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Waachiwa kwa Dhamana, Mdee Auanganishwa – Video

Viongozi wa Chadema wakiongozwa na mwenyekiti wao, Freeman Mbowe wametimiza masharti ya dhamana na kuachiwa huru katika Mahakama ya Hakimu...

READ MORE

Chadema Wafurika Mahakamani Kusubiri Dhamana ya Mbowe – Pichaz

WAFUASI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), leo wamefurika katika viunga vya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar  wakiimba nyimbo...

READ MORE

KISUTU: Mbowe na Wenzake Wafikishwa Mahakamani kwa Dhamana

Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe na wenzanke watano wa chama hicho wameshafikishwa katika Mahakama ya Kisutu wakisubiri shughuli za kimahakama...

READ MORE

Bavicha: Hatuogopi Kufa, Jaribuni Kuifuta Chadema Muone! – Video

Kaimu Mwenyekiti wa Baraza la Vijana Chadema (BAVICHA), Patrick Ole sosopi, amezungumza na waandishi wa habari leo Machi 31 katika...

READ MORE

Musiba Adai Kikundi Kinachofanya Mauaji Kinatoka Chadema, Ataja Majina – Video

MWANASIASA aliyekuwa ACT Wazalendo na hivi karibuni kutimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Cyprian Musiba amesema kuwa, matukio yote ya uhalifu...

READ MORE

Musiba Awashambulia Viongozi wa Dini Wanaomdiss JPM – Video

  MWANASIASA aliyekuwa ACT Wazalendo na hivi karibuni kutimkia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Cyprian Musiba amewajibu baadhi ya viongozi wa...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Kizungumkuti, Kula Pasaka Segerea

DHAMANA ya Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia Maendeleo (CHADENMA), Freeman Mbowe na viongozui wenzake watano imeshindikana kutolewa kutokana na madai...

READ MORE

Jamhuri Yapinga Dhamana ya Mbowe, Kesi Yaanza Tena

  IKIWA ni dakika chache baada Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kuwapa dhamana Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe na wenzake...

READ MORE

Wafuasi wa Chadema Wakinukisha Mahakamani Kisutu! – Video

  Wafuasi wa CHADEMA waliofurika katika Mahakama ya Kisutu wamezua sintofahamu baada ya kufanya vurugu wakipiga makelele na kuimba wanataka...

READ MORE

Breaking News: Mahakama Yatoa Dhamana Kwa Mbowe na Viongozi Wake

03:00pm: Hatimaye Hakimu ametoa dhamana kwa washtakiwa! Kila mshtakiwa anatakiwa kuwa na wadhamini wawili ambao watasaini bondi ya Sh. Milioni...

READ MORE

Lowassa Afuata Dhamana ya Mbowe, Wenzake Mahakamani – Video

MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wenzake watano wa chama hicho leo wanatarajiwa kurejeshwa...

READ MORE

YANAYOENDELEA… CHADEMA WATOA MSIMAMO – VIDEO

IKIWA ni saa 24 tangu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wenzake  wafikishwe mahakamani...

READ MORE

Chadema Wafanya Kikao cha Dhalula Kujadili Kesi ya Mbowe! -Video

Ofisa Habari wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Tumaini Makene, amesema Kamati Kuu ya Chama hicho imekutana kwa dhalula...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Wapelekwa Mahabusu Segerea

  Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wenzake watano wa chama hicho wamepelekwa katika...

READ MORE

Mbowe na Wenzake Washtakiwa kwa Uasi, Maandamano & Kuhamasisha Chuki

  MWENYEKITI wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe na viongozi wengine watano wa chama hicho wamefikishwa katika...

READ MORE

Breaking: Mbowe, Wenzake Wafikishwa Mahakamani Kisutu – Video

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe, na viongozi wengine waandamizi wa chama hicho, wamefutiwa dhamana katika...

READ MORE

Mbowe, Mashinji, Mnyika na Wengine Wawekwa Mahabusu Sentro

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Taifa, Freeman Mbowe na baadhi ya viongozi wengine waandamizi wa chama hicho...

READ MORE

Mnyika, Heche Wang’ang’aniwa Sentro, Wengine Waachiwa

  Viongozi watatu waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) walioripoti Kituo Kikuu cha Polisi Dar es Salaam leo,...

READ MORE

Rekodi ya Madaktari Wanaomtibu Lissu Usipime!

HUU ndio ukweli! Madaktari wawili waliobobea wanaomtibu Mbunge wa Singida Mashariki,Tundu Lissu, Profesa Stefaan Nijs na Profesa Willem-Jan Mertsemakers wa...

READ MORE

Breaking News: JPM Ampokea Afande Sele CCM

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. John Pombe Magufuli amempokea msanii mkongwe...

READ MORE

BREAKING: CHADEMA Wamshauri Rais! Watu Kutekwa, Kuuawa! – Video

BARAZA la Wazee wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema ) limemtaka Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt....

READ MORE

Mbunge wa Ubungo Apeleka Hoja Binafsi Bungeni Kudai Tume Huru ya Uchaguzi

Mbunge wa Ubungo, Said Kubenea amesema amepeleka bungeni barua ya kusudio la kuwasilisha hoja binafsi ya kuwa na chombo huru...

READ MORE

Breaking News: Mbowe Augua Ghafla, Alazwa KCMC

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Elikaeli Mbowe amelazwa katika Hospitali ya Rufaa ya KCMC, Moshi kwa...

READ MORE

Chadema Yamsimamisha Kazi Mwenyekiti wa Bavicha

HALI si shwari ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Mkoa wa Kilimanjaro, baada ya chama hicho kuchukua hatua...

READ MORE

Rufaa ya Sugu na Masonga Yapokelewa Mahakama Kuu

  Rufaa ya kupinga hukumu ya kifungo cha mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi ‘Sugu’ na Katibu wa Chadema Kanda...

READ MORE

Maandamano Yamponza Lwakatare

MBUNGE wa Bukoba Mjini, Wilfred Lwakatare amezuiwa na Jeshi la polisi nchini kufanya mkutano wa hadhara ambao ulipangwa kufanyika leo...

READ MORE

Wafuasi 3 wa Chadema waliojeruhiwa Kwa Risasi Wafikishwa Mahakamani

Wafuasi 3 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) waliojeruhiwa kwa risasi wakati Polisi wakitawanya waandamanaji Kinondoni wafikishwa Mahakamani Makada...

READ MORE