×

Tag: CHADEMA

Pigo Jingine Chadema, Katibu wa Chama Wilaya ya Kahama Atimkia CCM

KATIBU wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Wilaya ya Kahama mkoani Shinyanga amejivua uwanachama wa chama hicho na na...

READ MORE

Nyerere Afunguka Wema Kuhamia CCM, Ataja Sababu za Kumjibu Polepole – (Video)

Muigizaji maarufu nchini, Steve Nyerere ambaye pia ni kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), amesema kuwa amefurahishwa sana na maamuzi...

READ MORE

Mama Amlipua Wema LIVE, Adai Steve Nyerere ni Bomu (Video)

IKIWA ni takribani saa 15 tangu mwanaye ambaye ni Queen wa Filamu za Bongo na aliyewahi kuwa Miss Tanzania 2006,...

READ MORE

LIVE: CHADEMA Watoa Kauli na Maamuzi Mapya Baada ya Patrobas Kuhamia CCM

KAMATI Tendaji ya Baraza la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), BAVICHA wamefanya uteuzi wa viongozi wake ngazi...

READ MORE

BREAKING: Kituo cha Haki za Binadamu Wanazungumza na Waandishi wa Habari (Video)

 Matukio kama haya na mengine, Install App Yako ya Kijanja na Namba Moja Tanzania ya Global Publishers Android ===>Google...

READ MORE

Lowassa Amvaa RC Gambo, Asema Hana Mpango wa Kurudi CCM

ALIYEKUWA mgombea urais wa CHADEMA 2015 Edward Ngoyai Lowassa ambaye alihama CCM, ameweka wazi taarifa za kutaka kurudi CCM, na...

READ MORE

Breaking News: Meya Ubungo Aachiwa kwa Dhamana

Meya wa Manispaa ya Ubungo jijini Dar es Salaam, Boniface Jacob (Chadema) ameachiwa kwa dhamana baada ya kushikiliwa na polisi...

READ MORE

Breaking News: Chadema Wajitoa Uchaguzi Kata Tano Arumeru Mashariki

Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe ameagiza wagombea wote wa udiwani wajitoe kwenye uchaguzi wa kata tano Arumeru Mashariki, mawakala na...

READ MORE

Breaking News: David Kafulila Ajiondoa Chadema

MBUNGE  wa zamani wa Jimbo la Kigoma Kusini (2010-2015), David Kafulila amejivua uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema),...

READ MORE

ALICHOKISEMA MBOWE KUHUSU WANACHAMA WAKE KUHAMIA CCM (VIDEO)

Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Taifa, Freeman Mbowe amesema uamuzi uliochukuliwa na baadhi ya wanachama waliotangaza kukihama...

READ MORE

Katibu Mkuu wa Chadema Amtakia Kila La Kheri Katambi

Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji amesema chama hakina mgogoro na aliyekuwa Mwenyekiti wa Bavicha, Patrobas Katambi ambaye ametangaza...

READ MORE

Wanachama 12 wa Chadema Wafikishwa Makamani Arusha

Wanachama 12 wa Chadema mkoani Arusha wanaotuhumiwa kumshambulia mgombea udiwani wa CCM katika Kata ya Muriet, Francis Mbise wamefikishwa Mahakama...

READ MORE

Nyalandu: Ujasiri Ukaondoe Roho ya Woga, Upendo Uondoe Chuki

IKIWA ni siku mbili tangu ajiuzulu uanachama wa CCM na nyadhifa zote ndani ya chama hicho na kuomba kujiunga Chadema,...

READ MORE

Lowassa Amkaribisha Lazaro Nyalandu Chadema

ALIYEKUWA Mgombea Urais wa Tanzania na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema, Edward Lowassa amemkaribisha aliyekuwa mbunge wa Jimbo la...

READ MORE

Katibu Mkuu Chadema Aitwa Tena kwa DCI

KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji ametakiwa kuripoti ofisi ya Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai (DCI), imeelezwa....

READ MORE

Kiongozi Chadema Aendelea Kusota Rumande

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam imesema itaendelea kumshikilia Mkurugenzi wa Operesheni na Mafunzo wa Chadema, Kigaila Benson. Kigaila...

READ MORE

Madiwani Waliojiuzulu Chadema Wapigwa Chini Kura ya Maoni CCM

MADIWANI watatu wa Chadema waliojiuzulu katika Halmashauri ya Meru mkoani Arusha na kujiunga na CCM, wameangushwa katika kura ya maoni...

READ MORE

Takukuru Yatoa Tamko Ushahidi wa Lema, Nassari Kuhusu Madiwani – Arusha

WANANCHI wanaopeleka taarifa katika Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa nchini (Takukuru) wametakiwa kuwa na subira na kutokishinikiza chombo...

READ MORE

Sheikh Ponda Ajisalimisha Polisi Dar

Katibu wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda mapema leo ameripoti Kituo Kikuu cha Polisi Dar es...

READ MORE

Baada ya Kuona Hali ya Tundu Lissu, Sheikh Ponda Azungumza Haya

KATIBU wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania, Sheikh Issa Ponda amesema ameguswa na hisia za Mbunge wa Singida Mashariki...

READ MORE

CHADEMA: Sirro Usituzuie Kujadili Suala la Lissu – Video

CHAMA cha Demokrasia na Maendelo (Chadema) kimemtaka Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Nyakoro Sirro kutekeleza majukumu yake...

READ MORE

Moshi: Kiongozi Chadema Apata Ajali Mbaya ya Gari

KATIBU Mwenezi wa Baraza la Vijana wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Bavicha), Edward Simbeye amepata ajali ya gari. Simbeye...

READ MORE

Mwenyekiti wa Halmashauri Akidaiwa Kutishia Kuua

MAKAMU Mwenyekiti wa Halmashauri ya Tunduma, Herode Jivava ametiwa nguvuni na Polisi akidaiwa kutishia kuua kwa maneno. Jivava ambaye pia...

READ MORE

Jerry Muro Ajibu Tuhuma Nzito za CHADEMA, Amvaa Mazima Lema – Video

KADA maarufu wa Chama Cha Mapinduzi, ambaye pia aliwahi kuwa Msemaji wa klabu ya yanga, Jerry Muro ameibuka na kuwaponda...

READ MORE

Bulaya: Nafuatiliwa na Watu Waliovaa Kininja

MBUNGE wa Jimbo la Bunda Mjini kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Ester Amos Bulaya, amesema kuwa...

READ MORE

Chadema Wahoji Maswali Kibao Sakata La Lissu, Saanane

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimehoji maswali kibao kwa Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba na Inspekta Jenerali...

READ MORE

NASSARI: Maisha Yangu Yapo Kwenye Bonde la Uvuli wa Mauti

MBUNGE wa jimbo la Arumeru Mashariki (CHADEMA) Joshua Nassari amefunguka na kusema maisha yake yapo hatarini na kudai kuwa watu...

READ MORE

Nassari Aanika Mazito Madiwani Chadema Waliopokelewa na JPM

MBUNGE wa Chadema wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari ameweka rehani ubunge wake  baada ya Rais John Magufuli kumpokea aliyekuwa diwani...

READ MORE

Polisi Wamwachia Peter Msigwa Usiku

MBUNGE wa Iringa Mjini (Chadema) Msigwa ameachiwa huru jana usiku  kwa dhamana baada ya kukamatwa akiwa kwenye mkutano wa hadhara....

READ MORE

Mbunge Peter Msigwa Amekamatwa na Polisi

Mbunge wa Iringa Mjini Peter Msigwa (Chadema) amekamatwa na polisi leo Jumapili jioni baada ya kushushwa jukwaani kwenye mkutano wa...

READ MORE

Sakata la Lissu, Mbowe Avishutumu Vyombo vya Dola

MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Freeman Mbowe, amesema mtuhumiwa mkuu wa shambulio dhidi ya Mbunge wa Singida...

READ MORE

Mbowe Aipinga Serikali Sakata la Matibabu ya Lissu -Video

KIONGOZI wa Kambi Rasmi ya upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe, amesema Mbunge wa Singida Mashariki Tundu Lissu...

READ MORE

Msigwa, Lema Watema Cheche Nairobi Wakihojiwa Kuhusu Lissu -VIDEO

  WABUNGE wawili wa Chadema wametumia mahojiano nje ya nchi kuzungumzia matatizo ya Tanzania wakisema hayawezi kumalizwa na mtu mmoja...

READ MORE

Bavicha Wasisitiza Kumuombea Lissu Kesho

BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAVICHA) limesema kuwa wataendelea na mpango wao wa kumuombea dua Mbunge...

READ MORE

Chadema: Hatuna Imani na Polisi Kuwasaka Waliomshambulia Lissu

CHAMA cha Demokrasia Maendeleo (Chadema) kimeitaka serikali iwaite wapelelezi kutoka nje ili kuwabaini watu waliopanga njama za kumuua Mbunge wa...

READ MORE

Chadema: Lissu Amevunjwa Mguu na Nyonga Lakini Jasiri, Tumuobee!

CHAMA cha Demokrasia Maendeleo (Chadema) kimesema hali ya Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu, ambaye alishambuliwa na watu wasiojulikana mjini...

READ MORE

Katibu Mkuu Chadema Ahojiwa Kuhusu ‘Watu Wasiojulikana’

KATIBU Mkuu wa Chadema, Dk Vincent Mashinji amesema polisi wamemhoji wakitaka kujua kuhusu kauli zake za watu wasiojulikana kama anaweza...

READ MORE

Wema Akesha Akimlilia Tundu Lissu

TUKIO la kushambuliwa kwa kupigwa risasi kwa Mbunge wa Singida-Mashariki, Tundu Lissu ambaye ni wakili na Mwanashieria Mkuu wa Chama...

READ MORE

Bavicha Wamuomba JPM Aunde Tume Huru

BARAZA la Vijana la Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kimeitaka Serikali kuunda tume huru kwa ajili ya kuchunguza matukio...

READ MORE