×

Tag: CHADEMA

VIDEO: #GlobalBreakingNews: Sakata la Makinikia… Chadema Wafunguka LIVE

DAR: Uongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) umeibuka na kuzungumzia sakata la mchanga wa madini (makinikia) ambalo kwa...

READ MORE

VIDEO: Sakata la Kusimamishwa Bungeni, Halima Mdee, Ester Bulaya Kumpeleka Ndugai Mahakamani

NA HILLARY DAUDI | GLOBAL TV ALIYEKO KILIMANJARO IKIWA ni siku chache baada ya Spika Job Ndugai kuwasimamisha wasihudhurie Bunge...

READ MORE

VIDEO: Huzuni Yatanda Wakati Mwili wa Mzee Ndesamburo Ukiingizwa Kaburini

MOSHI: Mazishi ya Mzee Philemon Ndesamburo Kiwelu, yalifanyika jana Juni 6, 2017 nyumbani kwake, KDC Moshi mkoani Kilimanjaro na kuhudhuriwa...

READ MORE

Polisi Moshi Yazuia Jeneza la Mwili wa Ndesamburo Kupitishwa Barabarani

  KILIMANJARO: Jeshi la Polisi mkoa wa Kipolisi wa Moshi limezuia utaratibu wa kutoa heshima za mwisho kwa kuutembeza katika...

READ MORE

Viongozi Wamiminika Nyumbani Kwa Marehemu Ndesamburo Kutoa Pole Kwa Familia

  Maandalizi ya mazishi ya marehemu Dkt, Philemon Ndesamburo yakiendelea nyumbani kwake KDC mjini Moshi. Kwaya ikihudumu kwa nyimbo kwa...

READ MORE

Lowassa, Kinana, Polepole, Mbowe Kukutana Uso Kwa Uso Kesho

ALIYEKUWA mgombea wa urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Ngoyayi Lowassa; Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi...

READ MORE

NEC Yamteua Catherine Ruge Kuwa Mbunge wa Viti Maalum Chadema

Kwa mujibu wa Ibara ya 78(4) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 ikisomwa pamoja na...

READ MORE

Wema, Jokate Wapigwa ‘Stop’ Wanaume

STORI: SIFAEL PAUL | IJUMAA WIKIENDA| DAR ES SALAAM Mikakati ya kusaka nafasi ya kuingia bungeni mwaka 2020 kwa walimbwende...

READ MORE

Meya wa jiji la Dar es Salaam Ziarani Nchini Iran

NA DENIS MTIMA Meya wa Jiji la Dar es Salaam, Isaya Mwita, ameondoka nchini kuelekea Iran kwa mwaliko wa ziara...

READ MORE

Kambi ya Upinzani Wagoma Kusoma Hotuba Yao Bungeni

Msemaji wa upinzani katika Ofisi ya Makamu wa Rais, Mazingira na Muungano, Ally Salehe amesusa kusoma hotuba yake ya upinzani...

READ MORE

Nape Nnauye Atia Neno Vurugu za CUF

Stori: Gabriel Ng’oSha |IJUMAA WIKIENDA DAR ES SALAAM: Kufuatia watu wanane kuibuka wakiwa na silaha na kusababisha vurugu kwenye mkutano...

READ MORE

TAZAMA LIVE: Mwili wa Mbunge Macha wa Chadema Waagwa Bungeni – Dodoma

DODOMA: Spika wa Bunge, Job Ndugai, ameongoza waombolezaji kuaga mwili wa Marehemu Dkt Elly Marko Macha Mbunge wa Viti Maalum-CHADEMA...

READ MORE

Heche Azungumzia Migogoro ya Ardhi Tarime

MBUNGE wa Jimbo la Tarime (Chadema) John Heche, amezungumzia hofu iliyoibuka miongoni mwa wananchi wa Tarime baada ya ardhi yao...

READ MORE

Wema Ahofia Usalama Wake

DAR ES SALAAM: Miss Tanzania 2016, ambaye pia ni muigizaji nyota, Wema Sepetu, amesema amepunguza matembezi na baadhi ya marafiki...

READ MORE

Mwenyekiti wa Chadema Muheza Atimkia CCM

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Mkoani Tanga kimepata pigo baada ya aliyekuwa Mwenyekiti wa chama hicho wilaya ya Muheza,...

READ MORE

Msiogope Kupigania Demokrasia ya Kweli – Sumaye

WANAMAGEUZI nchini wametakiwa kuendelea kupigania demokrasia ya kweli ambayo ndiyo itawapa ushindi na kuwapatia Watanzania kwa ujumla fursa ya kupata...

READ MORE

TANZIA: Mbunge Dkt. Elly Macha wa Chadema Afariki Dunia

Mbunge wa Viti Maalum wa CHADEMA, Dkt. Elly Marko Macha amefariki dunia leo katika Hospitali ya New Cross Uingereza alikokuwa...

READ MORE

Mnyika Alaani Nape Kutishiwa Bastola Hadharani

CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo Bara (Chadema) leo kimelaani kitendo cha vyombo vya dola kutumia vibaya silaha ya moto iliyotolewa...

READ MORE

Lowassa Awaandikia Waraka Waliotimuliwa CCM, Awaita Mashujaa wa Kweli

Kufuatia wanachama 12 wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuvuliwa uanachama kutokana na kile walichosema kuwa ni usaliti, Mjumbe wa Kamati...

READ MORE

Vigogo Chadema Watimkia CCM (+VIDEO)

DODOMA: Katika mkutano mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), amepokelewa Moses Machali Mbunge wa zamani wa Kasulu Mjini kwa Tiketi...

READ MORE

Hii ni Simulizi ya Maisha ya Godbless Lema Gerezani Miezi 4, Alivyopewa Cheo cha Nyapara Kuwaongoza Wafungwa

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (Chadema) ameibuka na kueleza mambo mbalimbali, aliyokumbana nayo katika kipindi cha miezi minne akiwa...

READ MORE

Sentensi za Lema Katika Mkutano Wake wa Kwanza Arusha Baada ya Kuachiwa

Mbunge wa Arusha Mjini kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Godbless Lema leo amefanya mkutano wa hadhara...

READ MORE

Wema, Mbunge wa Chadema, Wapanda Miti Moro

MSANII  wa filamu na mlimbwende maarufu nchini, Wema Sepetu, ‘Madam’ ambaye hivi karibuni ameipasua Bongo Muvi kwa kuhamia Chama cha...

READ MORE

Tundu Lissu Aachiwa Kwa Dhamana

DAR ES SALAAM: Mwanasheria Mkuu wa Chama na Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu ameachiwa kwa dhamana (ya polisi) iliyowekwa...

READ MORE

Breaking News: Tundu Lissu Akamatwa na Polisi Mahakamani Kisutu

MBUNGE wa Singida Mashariki ambaye pia Mwanasheria Mkuu wa Chadema, Tundu Lissu, amekamatwa na Jeshi la Polisi, leo Machi 6,...

READ MORE

Wema Sepetu Alivyomtembelea Godbless Lema Baada ya Kutoka Gerezani

Msanii wa filamu nchini Wema Sepetu ambaye hivi sasa amehamia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ametimiza hadi yake kwenda...

READ MORE

Alichokiandika Wema Baada ya Lema Kupata Dhamana

Leo Machi 03, 2017  Wema ameandika ujumbe baada ya Mahakama Kuu Kanda ya Arusha, kutoa dhamana kwa Mbunge wa Arusha...

READ MORE

Sasa Huenda Gobdless Lema Akaachiwa kwa Dhamana

Mbunge wa Jimbo la Arusha Mjini, Godbless Jonathan Lema akiwasili mahakamani leo. Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Freeman Mbowe akiwa ameongozana...

READ MORE

Pichaz +Video: Wema Sepetu Alivyorudisha Kadi ya CCM na Kujiunga Chadema

STAA wa filamu Bongo, Wema Isac Sepetu, leo Ijumaa, Februari 24, 2017 ametangaza rasmi kukihama Chama Cha Mapinduzi (CCM) na...

READ MORE

Wema Sepetu Ahamia CHADEMA

Kutoka kushoto ni Mama Wema, Mbunge wa Bunda Mjini Ester Bulaya pamoja na staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu. Wema...

READ MORE

Sakata la Madawa: Kauli ya Chadema Baada ya Makonda Kumtaja Mbowe

DAR ES SALAAM: Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimesema muendelezo wa kukamatwa kwa viongozi wa chama hicho hakuwayumbishi bali...

READ MORE

Kesi ya Lissu Yapigwa Kalenda Tena

Kesi ya uchochezi inayomkabili Mbunge wa Singida Mashariki (Chadema), Tundu Lissu, leo imeshindwa kusikilizwa kwa mara nyingine kwenye Mahakama ya...

READ MORE

Klabu Billicanas Inavyozidi Kutoweka Ikibomolewa

Eneo ambalo lilikuwepo klabu maarufu ya Billicanas ambalo linaendelea kubomolewa kutokana na kudaiwa na Shirika la Nyumba la Taifa (NHC)....

READ MORE

Chadema Yapania Kumtoa Mahabusu Lema

Godbless Lema (wa pili kushoto) akirudishwa mahabusu. CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kimejipanga kuhakikisha Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless...

READ MORE

Video: Tundu Lissu Afungukia Hukumu ya Lijualikali, Aahidi Kumtetea

Mbunge wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (pichani mwenye kofia) ambaye pia ni Mwanasheria Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo...

READ MORE

Mbunge Lijualikali Ahukumiwa Jela Miezi Sita

Mbunge wa Kilombero kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Peter Lijualikali. Mbunge wa Kilombero kwa tiketi ya...

READ MORE

Kesi Inayowakabili Wabunge wa Chadema Yashindwa Kusikilizwa

Kesi inayowakabili wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Halima Mdee wa Kawe, Mwita Waitara wa Segerea na Saed...

READ MORE

Familia Ya Saanane Yakataa Matanga! Yahesabu Siku Ya Mtoto Wao Kuonekana

STORI: GABRIEL NG’OSHA, GAZETI LA UWAZI, TOLEO 1021, JANUARI 3-9, 2017 DAR ES SALAAM: Mwaka Mpya wa 2017 umeanza ambapo...

READ MORE