Chris Rock Agomea Mwaliko Tuzo za Oscars Kisa Kofi la Smith
CHRIS ROCK amegomea mwaliko Tuzo za Oscars miezi kadhaa baada ya muigizaji Will Smith, kumzaba kofi la moto mchekeshaji Chris Rock kwa kile alichosema ni kumtania mkewe mbele ya macho yake wakati wa hafla ya tuzo za Oscars za mwaka huu,…
