MR CHUZI KAMWE HANA MPANGO WA KUOA!!
WAKATI akiwa na watoto wanne aliozaa na mama tofauti, mwigizaji mkongwe wa Bongo Movies, Tuesday Kihangala ‘Mr Chuzi’ ameibuka na kueleza kwamba kamwe hana mpango wa kuoa.
Akipiga stori na Za Motomoto News, Chuzi alisema kuwa,…
