The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Claytous Chama

Ajibu Ajibu Mapigo ya Chama

KIUNGO mzawa ndani ya Simba, Ibrahim Ajibu, amejibu mapigo ya kiungo mwenzake, Clatous Chama kwa kutoa pasi ya mwisho ya kisigino iliyoleta bao ndani ya Simba. Septemba 20, mwaka huu kwenye Uwanja wa Mkapa, Dar, Chama…

Chama ashusha mashine Simba

CLAYTOUS Chama amewaambia viongozi wa Simba kwamba kuna mtu mmoja yuko pale Zesco akitua Msimbazi hali ya hewa itachafuka. Jamaa anatupia hadi aibu. Amewakalisha sehemu akaanza kuwatiririshia faili la jamaa weee jinsi alivyo na akili ya…

Chama: Tutawashangaza JS Saoura

KIUNGO mnyumbulifu wa Simba, Mzambia Claytous Chama ametamba kwamba licha ya ugumu wa kucheza ugenini kwenye mechi za Ligi ya Mabingwa Afrika, lakini safari hii watapambana kuondoka na pointi tatu kwa ajili ya kubadili rekodi ya…

Kocha: Huyu Chama Balaa!

STAA wa zamani wa Simba, Talib Hilal ameikubali kombinesheni ya mastraika watatu wa timu hiyo kuwa inatisha na kueleza ina ubavu wa kurudia maajabu ya mwaka 2003 kwa kutinga kwenye hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika. …

TFF Yamuondoa Mzambia Simba

WAKATI leo Jumatano Simba ikianza kufungua pazia la Ligi Kuu Bara kwa kucheza na Tanzania Prisons, kikosi hicho kitamkosa kiungo wake fundi Claytous Chama raia wa Zambia, kutokana na kuendelea kukosa Hati ya Uhamisho wa…