IDDI PAZI: NILIKUWA STRAIKA, BAADAYE NIKAWA KIPA BORA
NI ngumu sana kutaja majina ya makipa bora waliowahi kutokea nchini Tanzania bila ya kulijumuisha jina la Iddi Pazi Shaaban maarufu kama Father ambaye kwa nyakati tofauti aliwahi kutamba na timu ya Simba. Ingawa kuna klabu nyingi ambazo…
