The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Daimond

Diamond Ampongeza Makonda Dar

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva,  Nasib Abdul ‘Daimond Platnumz’, amempongeza Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam,  Paul Makonda kwa jitihada zake kuhakikisha Dar es Salaam inakuwa salama. “Kwanza kabisa Nimpongeze Mkuu wa Mkoa wa Dar…

Mama Diamond Amuweka Kikao Zari

Na MUSSA MATEJA| GAZETI LA AMANI| HABARI DAR ES SALAAM: Kuna madai kutoka ndani ya familia ya Mbongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond’ kuwa, mama mzazi wa staa huyo, Sandra Kasim ‘Sanura’ hivi karibuni alifanya kikao kizito na mkaza…

Diamond Hana Furaha na Zari

Na MWANDISHI WETU| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Taa nyekundu inamuwakia staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ baada ya kubainika kuwa hana furaha na mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady  ’,…

Mume wa Zari Afanya Kufuru

Na WAANDISHI WETU| RISASI JUMAMOSI| HABARI DAR ES SALAAM: Wakati staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ akimwaga fedha za kutosha katika sherehe ya arobaini ya mtoto wake wa kiume, Nillan Nasibu ‘Chibu…

Chale 21 Alizochanjwa Diamond…

Daimond Platnumz DAR ES SALAAM: Ijumaa Januari 20, 2017 Alama 21 zinazodaiwa ni chale zinazopatikana mgongoni mwa mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ zimezua mambo baada ya juzikati picha yake kutupiwa mtandaoni ikizionesha kwa…