Mjema Azindua Ujenzi Barabara ya Pugu-Majohe Dar
MKUU wa Wilaya ya Ilala, Sophia Mjema, leo amezindua ujenzi wa barabara ya kutoka Pugu mpaka Majohe kwa kiwango cha changarawe yenye urefu wa kilomita saba.
Akizungumza mara baada ya uzinduzi huo, Mjema ameeleza kuwa serikali imeamua…
