The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Dar

Dar: Jambazi Auawa Akipora Simu

JESHI la Polisi Mkoa wa Kinondoni limemuua mtu mmoja anaedaiwa kuwa ni jambazi baada ya kumpora simu mama aliyekuwa akitembea kwa miguu. Kamanda wa Polisi, Ramadhan Kingai amesema tukio hilo limetokea Jumatatu Julai 19,…

Bil. 4 Kuboresha Miundombinu Jangwani Dar

SERIKALI kupitia Mfuko wa Barabara (Road Fund), imesema ipo tayari kupitisha kiasi cha shilingi bilioni 4 kwa ajili ya kumlipa mkandarasi atakayepatikana ili kuboresha miundombinu ya eneo la Jangwani, jijini Dar es Salaam, mara baada ya…

Mvua Ilivyosababisha Maafa Dar

MVUA za masika zinazoendelea kunyesha zilisababisha maafa makubwa ikiwemo vifo vya watu wanne pamoja na watu kadhaa kujeruhiwa na ukuta wa kiwanda cha Pepsi kilichopo Barabara ya Nyerere jijini Dar kuanguka. Waandishi wetu…

Adha Ya Mvua jijini Dar Leo

Hali ilivyoonekana kufurika barabara za mitaa ya posta Dar. Mmoja wa watembea kwa miguu akionekana akipita kwenye maji yaliyojaa barabarani. Baadhi ya watembea kwa miguu wakipita kwa tabu katika mitaa mbalimbali ya Posta Dar. MVUA…