R.O.M.A, Darassa Kufanya Shoo ya Bure Karume Leo
Roma.
Na Mwandishi Wetu
WAKALI wanaosumbua katika Muziki wa Hip Hop Bongo, Ibrahim Musa ‘R.O.M.A Mkatoliki’ na Shariff Thabeet ‘Darassa’ wanatarajiwa kufanya shoo ya bure mbele ya mashabiki wao leo katika Viwanja vya Karume jijini Dar.…
