×

Tag: Diamond

Amkeni… Wanamuziki Wa Dansi Ingieni Darasa La Waah

WAKATI wanamuziki wa Dansi nchini wanalia njaa kutokana na kile wanachodai muziki wao kukosa soko, shilingi imegeuka upande wa pili....

READ MORE

Exclusive… Siri Nzito Yafichuka Magari Wasafi

DAR: Hii ni exclusive! Mpya kutoka kwenye makaratasi yake, Gazeti la IJUMAA linakuletea nyuma ya pazia kuhusu muonekano mzuri wa...

READ MORE

Mondi Atamtoa Roho Harmo… Mashabiki Wafunguka

ANAWEWESEKA! Ndivyo mashabiki wa muziki wa Bongo Fleva nchini wanavyomtafsiri msanii wa muziki huo, Rajabu Abdul ‘Harmonize’ ambaye ameendelea kujinasibu...

READ MORE

DIAMOND Apiga Shoo ya Kibabe Arusha… Tazama Full Video Hapa

 MSANII wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ usiku wa kuamkia leo Desemba 13, 2020 amefanya shoo ya aina...

READ MORE

Mondi Anunua iPhone kwa Mara ya Kwanza

MWANAMUZIKI milionea kutoka Bongo Fleva Diamond Platnumz, kwa mara ya kwanza ameingia kwenye chama cha watumiaji simu za iPhone, baada...

READ MORE

Namite; Mtoto Aliyemvuruga Diamond

SIKU ZOTE kuna usemi usemao; “Usililie bahati ya mwe nzako,!” Hivyo ndivyo ilivyokuwa kwa mwana muziki mdogo, Namite Leasbeth ‘Dinamite’...

READ MORE

Chameleone Afuata Nyayo za Mondi

LICHA ya kwamba alitangulia kwenye gemu lakini anachokifanya kwa sasa ni kama staa wa muziki kutoka Uganda, Joseph Mayanja ‘Chameleone’...

READ MORE

Gari la Rais Linalomilikiwa na Mondi Lazua Jambo

GARI la mwanamuziki maarufu nchini Tanzania, Nasibu Abdul ‘DiamondPlatnumz’, limemzulia jambo zito na kumuweka katika ‘vita ya maneno’ Rais wa...

READ MORE

Video: Ngoma Mpya ya Diamond ft Koffi Olomide ‘Waah’

Msanii Diamond Platinumz ametoa Video mpya akishirikiana na Legendi kutoka DRC Koffi Olomide unaoitwa ‘Waah’ 

READ MORE

Exclusive: Official Nai Awakera Tena

MWANAMUZIKI Nai amepiga stori na Global Tv Online na kutambulisha rasmi wimbo wake mpya wa Sio Saizi Yao na kufafanua...

READ MORE

Diamond, Zuchu, Rayvanny… Walivyowasili Kahama – Video

WANAMUZIKI kutoka Wasafi Classic Baby (WCB) wakiongozwa na CEO, Diamond Platnumz, wamewasili salama Kahama mkoani Shinyanga usiku wa kuamkia Novemba...

READ MORE

Koffi Amvulia Kofia Mondi

MWANAMUZIKI mkongwe kutoka Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Antoine Christophe Agbepa Mumba almaarufu Koffi Olomide au Mopao Mokozi, amemnyooshea mikono...

READ MORE

Big Announcement: Diamond Atangaza Jambo Zito – Video

Mkurugenzi wa Wasafi Media, Diamond Platnumz ametangaza rasmi tarehe ya kuanza #tumewashanatigo2020 ambayo ni tarehe 28/11/2020 na itaanzia Kahama mkoani...

READ MORE

Ni Vita ya Funga Mwaka

MUZIKI mzuri hutengenezwa na ubunifu ambao unafanywa na wasanii kwa kufanya kazi nzuri. Kazi ambayo inaweza kuishi miaka mingi na...

READ MORE

Pongezi kwa Ijumaa Kuondoa Kinyesi kwa Mondi

MIEZI kadhaa iliyopita, mwanamuziki mkubwa barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ alitangaza hadharani kuzilipia kodi ya nyumba familia 500, jambo...

READ MORE

Kiba Aibua Mchezo Mchafu wa Mondi

MKALI wao ndani ya Bongo Fleva, Ali Saleh Kiba ‘King Kiba’, ameibua mchezo mchafu ambao hufanywa na baadhi ya wasanii...

READ MORE

Zari Ajivunia Kuwaleta Watoto Bongo

ROHO ya mwanamama Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’, sasa ni kwatu baada ya kufanikisha zoezi la kuwaleta wanawe, Latifah...

READ MORE

Koffi Olomide Amfuata Diamond Kufanya Kolabo

MSANII mkongwe kutoka DRC Congo amewasili nchini usiku wa kuamkia Ijumaa wiki hii, Novemba 20, 2020. kwa ajili ya kufanya...

READ MORE

Wasanii 6 wa Bongo Fleva Waliotikisa 2020

MUZIKI wa Bongo Fleva una wasanii wengi waimbaji; kazi yao ni moja tu, kutoa burudani kwa mashabiki wao ambao ndio...

READ MORE

Ukweli Waanikwa Nyumba ya Mondi Kuuzwa

Mjini kuna mambo! Wikiendi iliyopita kulisambaa tetesi kwamba mjengo wa kifahari anaoishi msanii wa muziki wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul...

READ MORE

Zari Ampiga Chini King Bae Wake wa Sauz

MREMBO na mwanamama Zari the Boss Lady amethibitisha kuachana na mwanaume wake aliyemtambulisha mtandaoni kama ‘King Bae’ ambaye alifikia hadi...

READ MORE

Mondi, Zuchu, Nandy Washinda Tuzo za AFRIMMAA

  WAANDAAJI wa tuzo za mashindano ya All-Africa Music Awards Msimu wa Saba (AFRIMMA) ambayo yamefanyika jijini Dallas, Texas, Marekani, ...

READ MORE

Siri ya Mondi, Tiffah Yaanikwa

MSANII Nasibu Abdul ‘Diamond’ au Mondi kuwa karibu zaidi na mwanaye Tiffah kuliko Nillan kuna jambo limejificha, Risasi Jumamosi limedokezwa...

READ MORE

Hesabu ya Ndoa Inambeba Zaidi Zari kwa Mondi

MWISHONI mwa wiki iliyopita gumzo kubwa lilikuwa ni ujio wa mwanamama mjasiriamali wa Kiganda, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’...

READ MORE

Mimba 3 za Mondi kwa Mobeto Zaibua Jambo!

KAULI ya mwanamitindo maarufu Bongo, Hamisa Mobeto aliyoitoa hivi karibuni kuwa, alinasa mimba tatu za mpenzi wake Nasibu Abdul ‘Diamond’...

READ MORE

Freemason Watikisa Ndoa ya Mondi!

KUMEKUCHA tena! Kama ulikuwa unajiuliza kuhusu kubuma kwa ndoa ya mwanamuziki Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’; usipate shida sana, miongoni mwa...

READ MORE

Wema Aanika Alivyoteseka Baada ya Zari Kupata Mimba ya Mondi

  NDIO hivyo Bwana! Mrembo kutoka katika kiwanda cha filamu nchini Wema Sepetu hivi karibuni amesema kuwa hakuna kitu kilimuumiza...

READ MORE

Wema, Mobeto Walianzisha kumzima Zari

BAADA ya zilipendwa wao, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ kuteka mitandaoni na mitaani baada ya mzazi mwenzake, Zarinah Hassan ‘Zari The...

READ MORE

Tanasha Amfuata Zari Nyumbani kwa Mondi

KAMA noma na iwe noma! Ndivyo unavyoweza kuzungumza kufuatia taarifa mpya kutoka Kenya kudai kuwa, mwanadada Tanasha Donna Oketch naye...

READ MORE

Pacha wa Mondi Aibua Mazito

BABA mzazi wa msanii mahiri wa Bongo fleva nchini, Nasib Abdul ‘Diamond Platinums’, Abdul Juma ‘Baba D’, ameibuka na kumkana...

READ MORE

Mondi Apigwa Mawe Jukwaani

LICHA ya kukubalika katika kazi yake nje na ndani ya Bara la Afrika, katika hali isiyokuwa ya kawaida, staa wa...

READ MORE

Mondi, Zuchu Waonyeshana Mahaba Live

WAKATI wakiwa angali hawajakitegua kitendawili cha kuwa ni wapenzi au la, staa wa Bongo Fleva Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ na...

READ MORE

Zari Arudisha Majeshi kwa Diamond, Mapokezi Yatikisa Dar

  MZAZI mweza wa msanii Nasib Abdul  ‘Diamond Platunumz’   ambaye ni raia wa Uganda, Zari Hassan, maarufu  ‘Zari the Boss...

READ MORE

Mama Dangote Agoma Kumzalia Shamte

MAMA mzazi wa staa mkubwa wa muziki barani Afrika na bosi wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB), Nasibu Abdul...

READ MORE

Mondi Awanyima Urithi Wanawe

MWANZO zilikuwa ni tetesi tu kwamba, staa wa muziki barani Afrika na mmiliki wa Lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB),...

READ MORE

Mondi Amponza Amber Lulu

SUPASTAA mkubwa wa muziki barani Afrika, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ amemponza sexy lady anayekiwasha kwenye Bongo Fleva, Lulu Euggen ‘Amber...

READ MORE

Kweli Duniani Wawili Wawili!

  Ni jambo la kawaida kuambiwa umefanana na mtu fulani, kwa sababu duniani wawili wawili kuna ambao hukutana na mikasa...

READ MORE

Mondi Aibuliwa Dini ya Shetani

MAPYA yameibuka na kila mtu anasema lake hasa upande wa mahasimu wake, lakini kubwa ni kuibuliwa kwa skendo nyingine matata...

READ MORE

Mondi Awafunika Kiba, Harmo Kupiga Mabilioni

KWA sasa katika gemu la muziki hasa wa Bongo Fleva, kumekuwa na ushindani mkubwa ambao umekuwa ukitia chachu kwenye muziki...

READ MORE