The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Eti wema

Kajala, Masogange Chupuchupu…

SHINDANO la kumsaka staa wa kike Bongo aliyejaaliwa kuwa na shepu bomba linaendelea na sasa ni hatua ya 5 Bora ambapo wiki hii, Masogange na Kajala wamegongana kura ambapo ilibaki kidogo tu mmoja atoke. Kwa maana hiyo wiki hii hakuna…

Niva Awaponda Wema, Uwoya Kwa Mkewe

Na IMELDA MTEMA| GAZETI LA IJUMAA| IJUMAA STAA MIX MUIGIZAJI wa kiume anayefanya vizuri Bongo, Zuberi Mohammed ‘Niva’ amefunguka kuwa hakuna mwanamke yeyote wa Bongo Muvi anayeweza kufi kia uzuri wa mkewe aitwaye Maisala, huku…

Top 5 Washiriki Wagombea Kura

BAADA ya kupatikana tano bora ya shindano hili la Figa Bomba wiki iliyopita, washiriki sasa wanagombea kupigiwa kura ili waweze kuingia tatu bora. Kumbuka kura yako msomaji ni muhimu na wewe ndiye wa kupendekeza nani mwenye Figa…

Wema Ahofia Usalama Wake

Katika uchunguzi huo, ilibainika kuwa muigizaji huyo haonekani kwenye matukio kama kumbukumbu ya kuzaliwa, send off na hata kwenye kumbi za starehe kama ilivyokuwa, huku baadhi ya watu wake wa karibu wakisema hata simu yake, haipatikani…

Wema, Jike Shupa Kimenuka!

Na GLADNESS MALLYA| RISASI JUMAMOSI| HABARI DAR ES SALAAM: Ule ushosti wa staa wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu na muuza sura kwenye video za wasanii wa Muziki wa Bongo Fleva, Zena Abdallah ‘Jike Shupa’ unadaiwa kuvunjika na sasa…

Wema, Batuli Vita Nzito (+Video)

Na HAMIDA HASSAN & IMELDA MTEMA| GAZETI LA AMANI| HABARI DAR ES SALAAM: Vita mpya mjini! Waliokuwa marafiki wakubwa kabla na baada ya kampeni za Uchaguzi Mkuu wa 2015 na Dk. John Pombe Magufuli ‘JPM’ kuwa rais, Wema Sepetu na…

Mama Wema, Haujamtendea Haki Steve!

Na ERICK EVARIST| RISASI MCHANGANYIKO| BARUA NIMEKUKUMBUKA leo mama wa muigizaji Wema Isaac Sepetu. Habari za hapo Sinza-Mori, familia yako haijambo? Vipi mnaendeleaje? Najua utashangaa kwa nini leo nimekuandikia barua lakini…

Diamond Hana Furaha na Zari

Na MWANDISHI WETU| IJUMAA WIKIENDA| HABARI DAR ES SALAAM: Taa nyekundu inamuwakia staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ baada ya kubainika kuwa hana furaha na mpenzi wake wa sasa, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady  ’,…

Nay Amuoena Huruma Wema

STAA wa Hip Hop Bongo, Emmanuel Elibariki ‘ Nay wa Mitego’, anamuonea huruma Miss Tanzania 2006, Wema Sepetu kutokana na unafiki unaoonyeshwa na marafiki wanaomzunguka Nay aliiambia Risasi Vibes kuwa kwa masaibu yaliyomkumba mrembo…

Eti Wema, Aunt wapatana!

Waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel katika pozi. Na MWANDISHI WETU KITUKO! Katika hali isiyotarajiwa, waigizaji wa filamu wenye majina makubwa Bongo, Wema Sepetu na Aunt Ezekiel wamepatana ghafla…