The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Gazeti la Betika

Betika ndiyo habari ya mjini

WASOMAJI wa Gazeti la Betika, wameendelea kutoa ushuhuda wao juu ya gazeti hilo huku wakisema ni habari ya mjini kwa sasa katika masuala yote ya kubeti. Gazeti hilo lenye kurasa 20 za rangi, hutolewa bure kwa watu…

Betika lipo mtaani leo

NI takriban mwezi mmoja tangu lilipoingia mtaani, Gazeti la Betika, Jumamosi iliyopita lilikuwepo Uwanja wa Taifa ambapo Simba iliweka historia ya kushinda mchezo na kuingia Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika. Simba…