×

Tag: Habari

JELA MAISHA KWA KUKIRI KUUA, KULA NYAMA YA BINADAMU

WANAUME wawili nchini Afrika Kusini wamefungwa maisha baada ya kutiwa hatiani kwamba walimuua na kumla mtu mmoja. Watu hao waliotiwa...

READ MORE

AJALI ILIYOUA MSANII NA WENZAKE WATATU… UNDANI NI HUU!

JUMAMOSI iliyopita, msanii wa muziki wa uswazi Mchiriku, Jackson Simela ‘Dogo Jack’(pichani) na wenzake watano walipata ajali ya gari na...

READ MORE

ROSE MUHANDO AIANGUKIA SERIKALI

BADO afya ya mwimbaji maarufu wa Nyimbo za Injili Bongo, Rose Muhando ni tete ambapo ameiangukia serikali imsaidie ili aweze...

READ MORE

WABUNGE WALIONUSURIKA KIFO KATIKA AJALI

ROHO wa ajali ashindwe na pepo mchafu aenezae hofu kipindi cha mwisho wa mwaka ambapo ajali nyingi hutokea naye alegee;...

READ MORE

MAGUFULI AGAWA VITAMBULISHO 670,000 KWA WAKUU WA MIKOA

Rais Dkt. John Pombe Magufuli akizingumza na Wakuu wa Mikoa, Mawaziri na Makatibu Wakuu wa baadhi ya Wizara, Mameneja wa...

READ MORE

JOKA LA JABU LATIKISA DAR

DAR ES SALAAM: Patashika nguo kuchanika! Ndivyo unavyoweza kusema kufuatia joka linalodaiwa kuwa la ajabu kuonekana mara kwa mara na...

READ MORE

MTOTO ALIA: MSINIACHE NIFE

“MIMI nakufa.” Inasikika sauti ya mtoto akiugulia maumivu huku mwili wake ukiwa umekonda kupita maelezo; wanaomsaidia wanamfariji kwa kumuambia kuwa...

READ MORE

MCHUNGAJI ALIYEMTOA GEREZANI AMBER RUTTY TUMUELEWEJE?

WAKATI zile video zinazomuonesha mwanamuziki Nascat Abubakary ‘Amber Rutty’ akifanyiwa vitendo vya ulawiti zilipovuja, wengi walionesha masikitiko yao. Baadhi walikuwa...

READ MORE

NAMKUMBUKA RUGEMALIRA YULE; NAMSIKITIKIA HUYU!

KAMPUNI ya Mabibo Beer Wines and Spirits Limited nilikuwa naisikia tangu miaka ya 90 mwishoni, lakini James Rugemalira sikuwa namfahamu...

READ MORE

‘PAKA MTU’ AZUA TAHARUKI

GEITA: Sintofahamu na taharuki imewakumba wakazi wa Kitongoji cha Buseresere, wilayani Chato mkoani Geita kufuatia mnyama anayetajwa kama paka mtu...

READ MORE

A-Z BABA KICHUYA ALIVYOTEKWA – VIDEO

  MOROGORO: Baba wa Mcheza Soka wa Timu ya Wekundu wa Msimbazi, Simba Sports Club na Taifa Stars, Shiza Kichuya,...

READ MORE

Mtanzania Achaguliwa Katika Wanawake Bora 100 wa BBC 2018

BBC imetangaza orodha ya wanawake 100 bora wenye ushawishi kutoka kote duniani kwa mwaka 2018. Kwa usaidizi wao tutaangazia masuala...

READ MORE

NIMEPATA DAWA YA TRAFIKI WALA RUSHWA; TUITUMIE !

KAZI ya kufanya kila siku bila kuimaliza inachosha. Hata kula nako kusikokuwa na kikomo ni hatari kwa afya; vipi suala...

READ MORE

HII KALI! WATAPIKA MSIBANI WAKIDAI KUNYWA MAJI YA SUMU

ZAIDI ya waombelezaji 10 katika msiba wa marehemu Mugusuhi Mwita wa Kitongoji cha Kwinyunyi katika Kijiji cha Matongo Wilaya ya...

READ MORE

37 Wafariki Kwenye Mapigano Kati ya Waislamu na Wakristo

WATU zaidi ya  37 wamekutwa wamefariki katika mji mmoja katika Jamhuri ya Afrika ya Kati, kutokana na mapigano kati yaWakristo...

READ MORE

JESHI USU LA WANYAMAPORI LAZINDILIWA, SERENGETI MARA – VIDEO

Makamu wa Rais Samia Suluhu Hassan, Oeo amezindua rasmi Jeshi USU litakalokuwa na majukumu ya kulinda wanayama Pori na rasilimali...

READ MORE

UNDANI BABU ALIYEDAIWA KUBAKA KATOTO

DAR ES SALAAM: Mkazi wa Mburahati Motomoto jijini Dar, Mohammed Hassan ‘Babu Komeni’ anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 65,...

READ MORE

SERIKALI IMEANZA KUJENGA DARAJA JIPYA LA MTO WAMI

Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Eliasi Kwandikwa, ameliambia Bunge jana (Ijumaa) Novemba 9, 2018 kuwa mkandarasi Power Construction...

READ MORE

MCHEPUKO AUA MKE KWENYE FUMANIZI DAR

MWANAMKE Hajira Ramadhani (38) mkazi wa Mbagala, wilayani Temeke Dar, ameaga dunia; kilichomtoa uhai ni tukio la fumanizi.  Ijumaa limedokezwa na...

READ MORE

DTB-TANZANIA YATOA MSAADA WA VIFAA TIBA HOSPITALI YA RUFAA YA AMANA.

Diamond Trust Bank (T) Ltd, (DTB-Tanzania) leo hii, imekabidhi vifaa tiba kwa uongozi wa hospitali ya rufaa ya Amana, ikiwa...

READ MORE

TUMEKWISHA! HIVI NDIVYO WENYE SIMU ZENYE PICHA ZA NGONO WATAKAVYONASWA

KAMA hujaisikia mbiu, ni vyema ukutangaziwa wazi kwamba wale am­bao bado tunahifadhi picha na video za ngono kwenye simu zetu...

READ MORE

MAMA ASIMULIA GARI LA SERIKALI LILIVYOMKATA MIGUU

INASIKITISHA! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya mama mmoja, Amina Isumaili Jola (59), Mkazi wa kijiji na Kata ya Nyengedi, Wilaya...

READ MORE

Shinyanga: Mfanyakazi TTCL Afariki kwa Kupigwa Jiwe na Mumewe

MFANYAKAZI wa shsirika la simu nchini (TTCL) mkoani wa Shinyanga aitwaye Bupe Jacob maarufu kwa jina la Mwakibibi (48) ameuawa...

READ MORE

MWANAMKE MBARONI KWA KUMPIGA, KUMUUA MWANAYE

JESHI la Polisi Mkoa wa Mwanza linamshikilia mwanamke Rahel Matalaka, 41, mkazi wa kijiji cha Lugenge, kwa tuhuma za kumpiga...

READ MORE

ASKARI WAFARIKI DUNIA WAKIFUKUZANA NA RAIA

ASKARI wa wanyama pori wa Hifadhi ya Taifa (Tanapa), Charles Ndakama na mwenzake, John Magwe wamefariki dunia baada ya kufukuzana...

READ MORE

MCHUNGAJI TAJIRI WA KUTISHA MWENYE KANISA BONGO

UKIFIKA jijini Dar Es Salaam eneo la Makongo Juu ndipo lilipo kanisa la En­lightened Christian Gathering ‘ECG’ la Mchungaji Shepherd...

READ MORE

Mjue Aliyemeza Kijiko Kikabaki Kooni Mwaka Mzima!

MTU mmoja nchini China hivi sasa anapata ahueni baada ya kuondolewa kijiko kikubwa cha kulia chakula kilichokuwa kimekwama kooni kwa...

READ MORE

Rais Kikwete Atunikiwa Tuzo ya Uongozi Uliyotukuta

  Windhoek, Namibia: Rais Mstaafu Mheshimiwa Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete ametunukiwa Tuzo ya Uongozi Uliotukuka na Taasisi ya Women Advacement...

READ MORE

HATARI KUBWA… DAKTARI AMFANYIA KITU MBAYA MGONJWA

DAR ES SALAAM: Kabla hujafa, hujaumbika! Anna Majaliwa (35), Mkazi wa Tabata-Mawezi jijini Dar amezaliwa salama lakini ukubwani amejikuta akipata...

READ MORE

BAADA YA MUME WAO KUFARIKI… MBUNGE, MKE MWENZIYE PACHIMBIKA

ARUSHA: Pamechimbika! Ndivyo unavyoweza kusema baada ya Mbunge wa Bunge la Jumuiya ya Afrika Mashariki (EALA), Josephine Sebastian Ole Lemoyani...

READ MORE

KAPTENI HILDA: MWANAMKE WA KWANZA KUENDESHA NDEGE NCHINI

Hilda Wendy Ringo KUNA kazi ambazo wanawake kamwe hawawezi kuzifikiria kuzifanya maana baadhi ya wengi wao watakuambia nataka kufungua duka...

READ MORE

MASWALI TATA UPATIKANAJI WA MO

SHANGWE za kupatikana kwa mfanyabishara bilionea Mohammed Dewji ‘Mo’ Jumamosi iliyopita baada ya kutekwa na wasiojulikana ziko kila mahali nchini,...

READ MORE

AMCHOMA VISU MKEWE, AJIUWA

DAR ES SALAAM: Steven Mwashilindi, Mkazi wa Tabata -Kimanga jijini Dar, amedaiwa kujiua baada ya kumchoma visu tumboni mkewe, Maida...

READ MORE

SIRI WACHUNGUZI WA NJE KUGOMEWA BONGO YATAJWA

SERIKALI iwaite wachunguzi wa Kimataifa.” Baadhi ya wananchi wamekuwa wakitoa kauli hizo baada ya kuwepo kwa tukio la Mbunge wa...

READ MORE

WAKATI MO AKISAKWA ALIYETEKWA SIKU 14 A IBUKA KANISANI

WAKATI mfanyabi­ashara ambaye ni bilionea maarufu Bongo, Mohammed Dewji akisakwa kila kona bila mafanikio, kijana Chris­topher Stambuli (pichani) ambaye alitekwa...

READ MORE

MWALIMU ACHOMWA VISU NA KUFA MBELE YA WANAFUNZI WAKE

MWALIMU mkuu wa shule moja ya sekondari  Jumapili iliyopita alivamiwa na kundi la watu sita akiwa darasani akachomwa na kukatwakatwa...

READ MORE

MLINZI WA MAKABURI: NILISHAWISHIWA NIUZE KIGANJA CHA MTOTO!

DAR ES SALAAM: Mzee mmoja, Charles Magilagila, wa Tabata Segerea ambaye ni mlinzi wa makaburi wa eneo hilo amefunguka jinsi...

READ MORE

MGAMBO WAFANYA TUKIO LINGINE

MGAMBO  wanaosimamia operesheni ya usafi Mkoa wa Dar es Salaam  wamefanya tukio lingine baada ya lile la kudaiwa kuwapiga raia,...

READ MORE

KISA MREMBO… AVUNJWA MKONO NA MWALIMU

LINDI: Mkazi mmoja wa Nyangao, Wilaya ya Lindi, Shawezi Mohamedi, amevunjwa mkono wake wa kulia na mwanaume mwenzake aitwaye Mwalimu...

READ MORE

RC ACHARUKA MPIRA YA KIUME KUZAGAA SHULENI

SINGIDA: Mkuu wa Mkoa wa Singida, Dk. Rehema Nchimbi amepiga marufuku uanzishwaji wa kumbi za starehe zenye kujihusisha na vitendo...

READ MORE