The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Haruna Niyonzima

Mo Dewji Ampa Mzuka Niyonzima

KIUNGO mchezeshaji wa Simba, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda ameweka bayana kwamba kwa msimu ujao anajipanga kuona anafanya kitu cha tofauti na lazima abebe moja ya tuzo za mdhamini wao Mohammed Dewji ‘MO’. Niyonzima ambaye…

Niyonzima Apata Ajali Ya Gari

KIUNGO wa Simba, Haruna Niyonzima amenusurika katika ajali aliyoipata eneo la Mwenge jijini Dar es Salaam. Niyonzima amepata ajali hiyo juzi baada ya gari lake kupiga bonde na kupoteza mwelekeo wakati akirejea nyumbani kwake.…

Niyonzima Aanza Kazi Simba SC

HATIMAYE kiungo wa Simba, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima, rasmi anaendelea na mazoezi binafsi kwa kujifua ufukweni baada ya kuwa nje kwa muda mrefu kutokana na kuwa majeruhi. Niyonzima amekuwa nje ya uwanja kwa zaidi ya miezi…

Niyonzima Mambo Yake Mazuri

KIUNGO wa Simba, Haruna Niyonzima ametoa kauli za matumaini kwa mashabiki wa timu yake akisema anaendelea vizuri na matibabu ya kifundo cha mguu kilichomweka nje ya uwanja kwa miezi mitatu sasa. Kwa wiki ya pili sasa…

Okwi na Niyonzima Kumbe Lao Moja

EMMANUEL Okwi amewaambia mashabiki wa Simba kwamba licha ya yeye kutokuwa sehemu ya kikosi kwa sasa katika michuano ya Mapinduzi lakini kwa jinsi alivyoona kwenye Azam TV hakuna ya kuwazuia kubeba ndoo. Okwi hatofautiani na Haruna…