The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Haruna Niyonzima

Simon Msuva Awashangaa Yanga

KUFUATIA kuitungua timu ya taifa ya Botswana mabao mawili, winga wa kimataifa wa Tanzania, Simon Msuva, ameshangazwa na mashabiki wa Yanga wanaodai kuwa ameacha pengo kubwa katika timu hiyo. Juzi Jumamosi, Msuva akiwa na…

Niyonzima Atuliza Mzuka Simba

KIUNGO wa Simba, Haruna Niyonzima raia wa Rwanda, ametuliza mzuka wa mashabiki wa timu hiyo kwa kuwaambia kuwa, wasiwe na wasiwasi juu ya matokeo yasiyoridhisha wanayoyapata katika baadhi ya mechi zao za kirafiki. Juzi Alhamisi…

Niyonzima Aamua Kubaki Yanga

Na Wilbert Molandi | CHAMPIONI |GPL UONGOZI wa Yanga umefanikisha mipango yao ya kumbakiza kiungo mchezeshaji wa timu hiyo, Mnyarwanda, Haruna Niyonzima baada ya kufanya naye mazungumzo na kukubali kubaki kuendelea kuichezea timu hiyo.…

Yanga: Tutaweka Rekodi…

Khadija Mngwai | Dar es salaam KIUNGO wa Yanga, Haruna Niyonzima, raia wa Rwanda, ameeleza kuwa watapambana hadi tone la mwisho katika mechi yao dhidi ya MC Alger ya Algeria kwa kuwa wanahitaji kuweka rekodi katika mchezo huo.…

Yanga yavunja mkataba na Niyonzima

Haruna Niyonzima. Klaubu ya Yanga imetangaza kuvunja mkataba na kiungo wake wa kimataifa kutoka nchini Rwanda Haruna Niyonzima kutokana na utovu wa nidhamu ikiwemo kuchelewa kuripoti kambini na kutoipa kipaumbele klabu yake. Nahodha…