Global Tv Online: Usikose Kutazama Tamthilia ya Shevola Leo Saa 12:00 Jioni
GLOBAL TV Online inakuletea mfululizo wa Tamthilia maarufu. Naamini uliiona lakini haikua yote au ulisikia ubora wa TAMTHILIA TA SHEVOLA au pengine haukubahatika kabisa kuitazama, hii ni tamthilia bomba sana isiyokwisha utamu. Itakuwa…
