Kutupa Pesa Kosa la Jinai
Wizara ya Katiba na Sheria imewatahadharisha baadhi ya watu ambao wanatupata fedha chini wakati wa kutoa zawadi kwenye sehemu zozote za tafrija, kwani kwa kufanya hivyo ni kosa kisheria na atakayekamatwa kwa kufanya kosa hilo…
