The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

Kajala Masanja

Kajala: Paula Anakwenda Shule

STAA mkali wa Bongo Movies, Kajala Masanja, amevunja ukimya uliotawala kwa kipindi kirefu baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake ambaye ni msanii wa muziki wa Kizazi Kipya, Rajab Abdul Kahali ‘Harmonize’; kubwa ni suala la mwanawe,…

KAJALA, WEMA WAKWEPANA LAIVU

WASANII wa filamu za Kibongo, Wema Sepetu na Kajala Masanja zamani walikuwa marafiki wa kupika na kupakua kabla ya kugeuka kama paka na chui, juzikati kwenye sherehe ya arobaini ya mtoto wa mtangazaji Zamaradi Mketema walikwepana na…

Kajala Azua Balaa Barabarani

Muigizaji mwenye ‘taito’ kubwa Bongo, Kajala Masanja amenaswa akipiga misele barabarani na kuzua gumzo la aina yake kutokana na nguo aliyovaa kumbana mwili kiasi cha kuonesha laivu ukubwa wa kalio lake. Tukio hilo…

Kajala Amkimbia Zari Ukumbini

BAADA ya kuenea taarifa kwa muda mrefu kuwa hawapikiki chungu kimoja, staa wa filamu Bongo, Kajala Masanja amedhihirisha msemo huo baada ya kumkimbia ukumbini mjasiriamali maarufu Afrika Mashariki, Zarinah Hassan ‘Zari The Boss Lady’.…

Kajala Kuasili Mtoto Wa Kulea

STAA kiwango kunako filamu Bongo, Kajala Masanja amesema kuwa yuko mbioni kuasili mtoto kwenye kituo kimoja cha kulelea watoto yatima jijini Dar. Akizungumza na Star Mix, Kajala alisema amechukua uamuzi huo baada ya kuona…

Kajala, Wolper Kimewaka Mbaya

DAR ES SALAAM: Kinachoendelea hivi sasa kati ya mastaa wawili wakubwa wa filamu, Kajala Masanja na Jacqueline Wolper tunaweza kusema kimewaka mbaya baada ya mazungumzo kwa njia ya video kati ya muigizaji huyo na aliyekuwa bwana wa…

KAJALA, WEMA VISASI HADI KIFO

Chuki na visasi bado vimetawala kwa mastaa wakubwa wawili waliokuwa marafiki wa sinema za kibongo, kajala Masanja ‘kay’ na Wema isaac Sepetu baada ya kila mmoja kurusha kombora kwa mwenzake na kuonesha wazi kuwa bado kuna visasi kati…