Kala: Ashangaa Ndoa Yake Kideoni Kushtua Wengi
KALA Jeremiah ni zao la Shindano la Kuibua Vipaji la Bongo Star Search mwaka 2007 ambalo huandaliwa na Kampuni ya Benchmark Production chini ya C.E.O wake, Ritha Paulsen ‘Madam Rita’.
Kala ni miongoni mwa mastaa wachache…
