Mpenzi msomaji, wiki iliyopita niliishia pale akina Bite na Monica walipoamka baada ya kusikia Dorcas akilia na kumkuta mama yao...