Kitale: Sio Ishu… Kiki Zikiendelea
MSANII wa Bongo Muvi, Musa Kitale ‘Kitale’ amesema kuwa kwa upande wake anaona ni sawa tu kama kiki zikiendelea kutumika kwa sababu husaidia kukuza sanaa ya muziki.
Akizungumza na AMANI msanii huyo alisema kuwa siku zote…
