The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

Kombe la dunia 2018

Makocha Waipa Ufaransa Ubingwa

MAKOCHA wa zamani wa Simba, Mcroatia Zdravko Logarusic na Selemani Matola wametabiri kwamba Ufaransa inabeba Kombe la Dunia leo Jumapili kwa kuipiga Croatia kwenye mechi ya fainali ndani ya Uwanja wa Luzhniki Moscow Urusi. …

SENEGAL HATARI, YAWAPIGA POLAND

SENEGAL imekuwa timu ya kwanza kuwatoa kimasomaso Waafrika baada ya jana Jumanne kuichapa Poland mabao 2-1, kwenye mchezo wao wa kwanza wa Kombe la Dunia. Senegal walionyesha kiwango cha hali ya juu kwenye mchezo huo huku wakionyesha…