‘Bodyline’ Yazindua Mashindano ya Ujenzi wa Mwili, Afya Dar
KITUO cha Bodlyine Health and Fitness cha jijini Dar es Salaam kikishirikiana na Shirikisho la Mazoezi ya Kujenga Mwili (Tanzania Body Building Federation - TBBF) limezindua mashindano yajulikanayo kama Mission FitPossible kwenye kituo…
