Kida Kudz Arejea kwa Kishindo na Ngoma Mpya “Animalistic”
KIDA Kudz -rapa maarufu kutoka Nigeria mwenye makazi yake jijini London, Uingereza, amerejea kwa kasi kwenye gemu baada ya kutoa wimbo wake mpya uitwao Animalistic.
Wimbo huo unapatikana kwenye majukwaa yote ya ‘ku-stream’…
