Dhamana ya Lema Bado Ngoma Nzito na Leo Imekwama, Kula Mwaka Mpya Gerezani
ARUSHA: Mahakama Kuu Kanda ya Arusha iliyokuwa isikilize leo kesi ya rufaa ya Mbunge wa Arusha Mjini, Godbless Lema (CHADEMA), ya kupinga kunyimwa dhamana imeshindwa kusikilizwa kufuatia upande wa jamhuri kukata rufaa ya kupinga kuongezwa…
