×

Tag: Makala

Si kila uliyenaye mtaoana

JUMATATU nyingine tunakutana katika eneo letu la kupeana darasa la masuala ya mahusiano. Mungu ni mwema ametujalia pumzi, hakika tumshukuru....

READ MORE

JINSI YA KUZUIA U.T.I KWA WATOTO

UGONJWA wa mfumo wa mkojo kitaalamu Urinary Tract Infection (U.T.I) umekuwa ukisumbua watu wengi. Leo tutazungumzia ugonjwa huu kwa watoto...

READ MORE

MBINU ZA WAPENDANAO KUISHI KWA FURAHA

MIGOGORO ya wapendanao kwa sasa imekuwa mingi. Ripoti mbalimbali zinaonesha kwamba kuna anguko kubwa la watu kupeana talaka, watu wanashindwa...

READ MORE

CHUNGA SANA, MITANDAO INAWEZA KUKUINGIZA CHAKA -2

HAPA kwenye Boyfriend and Girlfriend ndiyo sehemu pekee ambapo vijana ambao bado hawajaingia kwenye ndoa, hupata darasa zuri la mahusiano...

READ MORE

MCHAWI WA DEREVA BREKI

SHOGAAAAA eeehh wanak-wambia hata kizibo ni mfuniko japokuwa huwezi kufunikia sufuria, heee heeeeiyaaaa! Tangu lini kijiko cha jikoni kikaogopa moto? Unajifanya...

READ MORE

UKIFANYA HIVI, WENYE PESA WATAKUMEGEA PENZI LAKO!

LEO nataka kuzungumzia hili suala la baadhi ya watu kuwa wabinafsi, wabahiri na wasiowajali wapenzi wao kiasi cha kusababisha mapenzi...

READ MORE

AINA TANO ZA VYAKULA HATARI!

SIKU hizi afya za wananchi zipo hatarini, kutokana na ulaji wa vyakula mbalimbali ambavyo ni hatari kiafya.     Leo tunaainisha...

READ MORE

FAHAMU SABABU ZA FIGO KUSHINDWA KUFANYA KAZI!

FIGO ni viungo vilivyomo ndani ya mwili vyenye kazi ya kuchuja uchafu uliomo kwenye damu. Vinahusika pia na uratibu wa...

READ MORE

UKITAKA KUANZISHA HUDUMA ZA ‘LAUNDRY’, FUATA HATUA HIZI RAHISI

  Udobi ni kazi ambayo imezoeleka kwamba inafanyika kikawaida kabisa. Wasichokijua wengi ni kwamba, unaweza kujikwamua kiuchumi na kupata mafanikio...

READ MORE

JINSI YA KUJINASUA KWENYE MATESO YA MAPENZI

NI Jumatatu nyingine mpenzi msomaji wangu. Mungu ametujalia uzima, kama upo na tatizo lolote basi usikate tamaa Mungu atakufanyia wepesi...

READ MORE

MAMBO YANAYOJITOKEZA MIEZI 7 MPAKA 9 YA UJAUZITO

MIEZI saba hadi tisa ya ujauzito huwa kwa kiasi kikubwa salama bila ya kuwa na dhoruba zozote na wakati huo...

READ MORE

KUNA FAIDA WAPENDANAO KUKWARUZANA

MUNGU ni mwema tena Jumamosi ya leo ametupa pumzi. Kwa wale wenye changamoto mbalimbali, msikate tamaa, Mungu atawatia nguvu mtarejea...

READ MORE

HATA KAMA HUMWAMINI, MPE UHURU WAKE

NI Ijumaa nyingine tunapokutana, ni wajibu wetu kumshukuru Mungu kwa kutufanya tuione siku ya leo. Leo ningependa kuzungumza na wewe...

READ MORE

JINSI YA KUKABILIANA NA FANGASI WA MIGUUNI

MARA nyingi ngozi ya miguuni hasa katika ngozi ngumu ya nyayo na katikati ya vidole, ndizo zinazopatwa sana na vimelea...

READ MORE

CHUNGA SANA, MITANDAO INAWEZA KUKUINGIZA CHAKA!

NI kona ya Boyfriend and Girlfriend kwa ajili ya vijana ambao bado wapowapo sana wakiha-ngaika huku na kule kutafuta mwenzi...

READ MORE

ELEWA TATIZO LA MIKONO / MIGUU KUFA GANZI

KATIKA mwili wa binadamu, kuna tatizo la kiafya ambalo huambatana na dalili za mtu kuhisi maumivu, kuhisi kufa ganzi kwa...

READ MORE

SHUKA LA KUAZIMA HALISTIRI BARIDI

PAMBEEEE heeeee unashangaa kumuona kuku kwa mganga umesahau kama rangi yake ndiyo imemroga! Wareeee reeee unachezea bomba wakati umevaa kijora! ...

READ MORE

JE, UMJANJA NA UNATIMIZA WAJIBU WAKO KWA MUMEO?

MPENZI msomaji wangu, naomba leo niende moja kwa moja kwenye mada yangu ya wiki hii ambayo kwa kiasi kikubwa inawagusa...

READ MORE

TATIZO LA WATOTO KUKOJOA KITANDANI LINATIBIKA

TATIZO la kukojoa kitandani kwa jina la kisayansi linaitwa enuresis ambapo mtoto aliye katika umri ambao uwezo wa kuzuia mkojo...

READ MORE

MADHARA YA KUCHUKULIA POA TENDO LA NDOA!

MUWE wachumba, muwe ndani ya ndoa, tendo la ndoa lina umuhimu wake. Kwa namna moja au nyingine linakamilisha maana nzima...

READ MORE

NDOA SIYO NGUO, USEME UTAJARIBISHA UIACHE!

NINA kila sababu ya kumshukutu Mwenyezi Mungu kwa wema wake, kwa kunipa na kukupa nafasi wewe msomaji wangu kujumuiika nami...

READ MORE

TAA YA GARI HAIFUNGWI CHUMBANI

PAMBEEEEEE shoga wanakwambia mkaa mkaa tu hata uwekwe ndani ya maji utabaki kuwa mweusi, upo? Utabaki kushangaa wenzako tunapiga hatua...

READ MORE

HEBU JITATHIMINI, UNAPENDWA AU UMEINGIA CHOO CHA KIKE

NI matumaini yangu muwazima na mko na hamu kubwa ya kujua kile ambacho nimewaandalia kwa siku ya leo. Kama kawaida...

READ MORE

HAKUNA MKAMILIFU, UNAMSAIDIAJE MWENZA WAKO KUBADILIKA ?

 DUNIA ya sasa kumpata mtu mwenye mapenzi ya dhati, mwenye moyo wenye huruma, anayejali na ambaye ana hofu ya Mungu...

READ MORE

KURIDHIKA NI SIRI KUBWA YA KUDUMU KWENYE UHUSIANO

KWA kawaida mwanzo wa uhusiano, huba na kila aina ya manjonjo kwenye mapenzi hutawala. Huwa na vitu vingi sana vya...

READ MORE

USILALAMIKE KWA NINI HUOLEWI,HUENDA UNAJICHELEWESHA

NI Ijumaa nyingine ninapokukaribisha mpendwa msomaji wangu kwenye uku­rasa huu murua. Siku chache zilizopita, nilipata bahati ya ku­zungumza na msomaji...

READ MORE

FAHAMU MAMBO MUHIMU KUJADILIANA KABLA YA KUOANA

BOYFRIEND and Girlfriend ndiyo jina la kolamu, tukijadiliana mambo muhimu ambayo vijana walio kwenye urafiki, kabla ya kufikiria kuhusu uchumba...

READ MORE

MAJI YA BAHARI HAYAPIKIWI CHAI

HALOOOO eeeehhh! Unajifanya barafu umesahau kama unayeyuka! Wee ringia sura siye tunaringia ngozi! Shoga nashanga unalamika oooh mambo yako hayaendi...

READ MORE

KAULI YA CHID BENZ KWA RC MAKONDA

KUNA msemo wa Kingereza usemao; “Don’t judge a book by it’s cover”. Zipo tafsiri zisizo za moja kwa moja za...

READ MORE

JINSI YA KUMTAMBUA MWANAUME AMBAYE SI MUOAJI

ULIMWENGU wa sasa umejaa sanaa. Watu wameingiza sanaa kwenye kila eneo. Sanaa ipo hadi kwenye masuala ya uhusiano. Mtu anamfuata...

READ MORE

UNAPATA TABU SANA KWENYE MAPENZI? SOMA HAPA!

WAKATI MUNGU ni mwema, Jumapili nyingine tunakutana kwenye eneo letu la kupeana darasa la masuala ya uhusiano. Nafurahi kuona mkiendelea...

READ MORE

UKIMFANYIA DAWA HII MPENZI WAKO, KAMWE HACHOMOKI!

MNAPOISHI pamoja kwa muda mrefu, huwa kuna migogoro ya hapa na pale inayotokea, ambayo baadaye inaweza kumfanya mtu akamchoka mume...

READ MORE

HUSTAHILI KUTESEKA KWA AJILI YA MAPENZI , CHUKUA HATUA -2

NI WIKI nyingine ninapokukaribisha msomaji wangu, wiki iliyopita tulianza kuielezea mada ya hapo juu kama inavyojieleza. Nilikusimulia kwa kifupi kuhusu...

READ MORE

HUSTAHILI KUTESEKA KWA AJILI YA MAPENZI, CHUKUA HATUA

NI WAKATI mwingine mzuri ninapokukaribisha mpendwa msomaji wangu na mada tutakayoijadili leo ni kama inavyojieleza hapo juu. Nimekuwa nikipokea ujumbe...

READ MORE

MBUZI HAPEWI NYAMA

HAYA tena shoga kama nakuona vile unavyojiuliza inakuwaje gari lina sofa lakini si za mbao! Haloooo eeeeeh! Weee zubaa tu...

READ MORE

MNAOSTAAJABU YA WEMA, ACHA NIWAKUMBUSHE YA GIGY!

NAJARIBU kuvuta picha siku ya kwanza kabisa kukutana na mwanadada anayefanya fresh kwenye game la muziki Bongo. Huyu si mwingine...

READ MORE

UNAVYOWEZA KUSALITIWA KWA KUTOMSIFIA MKE WAKO!

KUNA dada mmoja ameolewa na anafanya kazi benki. Dada huyu kila akitoka hujitahidi kuvaa vizuri lakini mume wake hajawahi kumwambia...

READ MORE

MAPYA YA MTOTO ALIYEKARIRI VIONGOZI WOTE

KAGERA: Mtoto aliyewahi kutikisa kwenye vyombo vya habari na mitandao mbalimbali nchini Itham Mahfudh (4) kutokana na kipaji chake cha...

READ MORE

IJUE SIRI YA MASTAA HAWA BONGO KUTOBOA KIMATAIIFA

YAWEZEKANA kabisa wewe ni msanii chipukizi au msanii mkubwa Bongo unayetamani siku moja uweze kutambulika kimataifa, lakini hujui wapi pa...

READ MORE

WEWE UKO DAR, YEYE ARUSHA, PENZI LA KWELI LITOKE WAPI?

MAPENZI yanachukua nafasi kubwa sana katika maisha yetu lakini mapenzi hayahaya yanafikia hatua ya kuwadatisha baadhi ya watu. Wengi wasiojua...

READ MORE