×

Tag: Makambo

BREAKING NEWS: MAKAMBO ATIMKA YANGA, AJIUNGA HOROYA AC

TAARIFA zilizosambaa kwa kasi mitandaoni zinaeleza kuwa Klabu ya Horoya AC ya nchini Guinea imemsajili mshambuliaji matata wa Klabu ya ...

READ MORE

Makambo Awafunika Kagere, Bocco

HERITIER Makambo wa Yanga, anaonekana kuwa vizuri katika kufunga mabao msimu huu na kuwazidi ujanja washambuliaji wa Simba, Meddie Kagere...

READ MORE

Mabao Yamfanya Makambo Aitwe Timu Ya Taifa

NYOTA ya mshambuliaji wa Yanga Mkongoman, Heritier Makambo imezidi kung’ara baada ya kuchaguliwa kwenye orodha ya awali ya wachezaji 40...

READ MORE

Guu la Makambo Lampoteza, Kagere… Walingana Mabao

SAHAU kabisa kuhusiana na Emmanuel Okwi, John Bocco na huyu Mzambia anayeitwa Claytous Chama.   Wala usihangaike na Amissi Tambwe,...

READ MORE

ZAHERA KUWAKALISHA KINA MAKAMBO

KOCHA Mkuu wa Yanga, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo amesema kila siku atawapatia mbinu mpya washambuliaji wake, Heritier Makambo...

READ MORE

Zahera Amchenjia Makambo, Ampa Onyo

LICHA ya kufunga bao la kusawazisha, lakini Kocha Mkuu wa Yanga Mkongomani, Mwinyi Zahera amesema kuwa mshambuliaji wake, Heritier Makambo...

READ MORE

MAKAMBO, AJIBU WAFICHWA KISA MECHI YA SIMBA FEB 16

WACHEZAJI wote wa Yanga wakiwemo Ibrahim Ajibu na Heritier Makambo hawataonekana mitaani wala kwenye makazi yao mpaka mechi na Simba...

READ MORE

Makambo, Tshishimbi Kurudi na Ubingwa Yanga

  NYOTA wa Yanga raia wa DR Congo, Heritier Makambo na Papy Kabamba Tshishimbi, Januari 14 watatua jijini Dar es...

READ MORE

Yanga yafunga Mwaka Kibabe, Yafikisha 50!

MABINGWA mara 27 wa Ligi Kuu Tanzania Bara, Yanga, wanaufunga mwaka kibabe kutokana na kuweka rekodi ya kipekee msimu huu...

READ MORE

Makambo Aletewa Kiatu Maalum Toka Uturuki

MSHAMBULIAJI wa Yanga, Heritier Makambo hivi karibuni anatarajia kupokea kiatu kipya cha kuchezea kutoka nchini Uturuki baada ya kununuliwa na...

READ MORE

Makambo Amtaja Ajibu Mabao Yake Yanga

MSHAMBULIAJI tegemeo wa Yanga Mkongomani, Heritier Makambo ameshindwa kujizuia na kumwagia sifa kiungo mshambuliaji wa timu hiyo, Ibrahim Ajibu ambaye...

READ MORE

Zahera, Makambo Wakimbiza Tuzo Ligi Kuu

Klabu ya soka ya Yanga kupitia kwa mshambuliaji wake, Heritier Makambo na kocha, Mwinyi Zahera imeibuka kinara kwenye tuzo za...

READ MORE

Makambo ampiga mkwara Kagere

AKIIONGOZA Yanga leo i takapovaana na Tanzania Prisons ya Mbeya, mshambuliaji wa timu hiyo, Mkongoman, Heritier Makambo, ni kama ameanza...

READ MORE

GUU LA MAKAMBO LAMPOTEZA OKWI

  MASTAA watano wanakimbizana na kuchuana vikali kwenye ishu ya ufungaji katika ligi ya msimu huu. Hao ni Eliud Ambokile...

READ MORE

Zahera: Makambo Habari Nyingine, Atafunga Sana Tu

  KOCHA Mkuu wa Yan­ga, Mwinyi Zahera raia wa DR Congo amewe­ka wazi kwamba ana­muamini straika wake, Heriti­er Makambo kuwa...

READ MORE

Nyosso apewa Makambo, Ngassa

KATIKA kuhakikisha anabakiza pointi tatu nyumbani, Kocha Mkuu wa Kagera Sugar, Mecky Maxime amesema tayari amekiandaa vyema kikosi chake kupambana...

READ MORE

ZAHERA: MAKAMBO Hawezi Hata Mama Angu Anafunga Pale – Video

Kocha Mkuu wa Yanga, Mkongomani, Mwinyi Zahera, amefunguka mambo kadhaa juu ya sare ya 1-1 dhidi ya Ndanda ambayo wameipata...

READ MORE

Yanga Yaitungua Lipuli, Tazama Bao la Makambo – Video

Timu ya Yanga imeendeleza moto wake ndani ya Ligi kuu baada ya kufankiwa kushinda mchezo wake wa leo dhidi ya...

READ MORE

Zahera Aanza Na Makambo Morogoro

YANGA jana Jumatano walianza kambi yao mkoani Morogoro chini ya kocha wao mkuu, Mwinyi Zahera kwa kujiandaa na mechi dhidi...

READ MORE

Ajibu, Makambo Wawavuruga Simba

WAKATI homa ya mechi ya watani wa jadi, Simba na Yanga ikizidi kupamba moto, washambuliaji wa Yanga, Heritier Makambo na...

READ MORE

Makambo Anachinja Tu!

    BAO la Straika Mkongomani, Heritier Makambo jana usiku liliipeleka Yanga kileleni mwa msimamo wa Ligi Kuu Bara baada...

READ MORE

Kagere: Sijaangalia Mechi Ya Makambo

BAADA ya kamati ya Tuzo ya Ligi Kuu Bara kumtaja mshambuliaji wa Simba, Med­die Kagere ameweka wazi kuwa kupata tuzo...

READ MORE

Waarab Wamfuata Makambo Yanga

  SIKU za mshambuliaji wa Yanga Mkongomani, Heritier Makambo za kuendelea kubaki kukipiga Jangwani huenda zikawa zinahesabika baada ya baadhi...

READ MORE

Makambo Arejea Kuipa Ugumu Simba SC

HUENDA ikawa habari njema kwa Yanga na mbaya kwa mashabiki wa Simba. Ni baada ya mshambuliaji wa Wanajangwani, Heritier Makambo...

READ MORE

Makambo Agundua Pakuwabana Simba

YANGA wamesikia kejeli za Simba wanaowatania kwamba jina la Wakimataifa limekufa rasmi kwavile mwakani hawana chao, lakini Kocha Mwinyi Zahera...

READ MORE

Makambo Awataja Fei Toto, Tshishimbi Siri ya Mabao Yake Yanga

MSHAMBULIAJI mpya hatari hivi sasa wa Yanga, Mkongoman, Heritier Makambo, ametoa pongezi kwa viungo wa timu hiyo, Feisal Salim ‘Fei...

READ MORE

MAKAMBO ATEKA MAZOEZI SIMBA

BAADA ya straika wa Yanga, Heritier Makambo kuanza kwa kishindo, jina lake limekuwa gumzo kila kona ya Tanzania kiasi kwamba...

READ MORE

Tambwe: Makambo Ni Zaidi Ya Ngoma

MSHAMBULIAJI wa kimataifa wa Yanga, Mrundi, Amissi Tambwe amewataka wapenzi na mashabiki wa timu hiyo kutokuwa na wasiwasi na uwezo...

READ MORE

Takwimu za Makambo Kwa Waarabu ni Hatarii

ALICHOKIFANYA straika, Heritier Makambo, Yanga iliposhinda mabao 2-1 dhidi ya USM Algiers kwenye Uwanja wa Tai­fa kinaonyesha kwamba jamaa ni...

READ MORE

Makambo Apewa Jukumu Zito Yanga

MSHAMBULIAJI mpya wa Yanga, Heritier Makambo, raia wa DR Congo, amepewa jukumu zito la kuibeba timu hiyo katika mchezo wao...

READ MORE