×

Tag: man u

Man United Yajitoa kwa Haaland

Manchester United imejitoa kwenye kinyang’anyiro cha kumsajili Erling Haaland baada ya nyota kuripotiwa kupendelea Real Madrid. Haaland anavutiwa na Meneja...

READ MORE

Uefa 16 Bora: Droo Yafutwa, Kurudiwa Tena

IKIWA ni saa chache baada ya droo ya kupanga michezo ya hatua ya 16 Bora ya Ligi ya Mabingwa Barani...

READ MORE

Man United Yawasiliana na Conte Kumrithi Ole

Klabu ya Manchester United ambayo inatajwa kuwa mbioni kumfukuza kazi kocha wake, Ole Gunner Solskjaer baada ya kipigo cha 5-0...

READ MORE

Ole Hali Mbaya Man United

#OleOut ndio hashtag inayosambaa katika mtandao wa kijamii wa Twitter mara baada ya Manchester United kupokea kipigo kizito cha mabao...

READ MORE

Liverpool Yaipa Man United Kipigo cha Mbwa Koko

TIMU ya Manchester United wamepokea kichapo cha kihistoria baada ya kupigwa mabao matano kwa bila na mahasidi wao Liverpool katika...

READ MORE

Donny Van De Beek Aomba Tena Kuondoka United

STAA wa Manchester United, Donny van de Beek anataka kuhakikisha tena anapeleka ombi la kuondoka kwenye timu hiyo katika usajili...

READ MORE

Manchester United Kuuza Nyota Saba

KLABU ya Manchester United imetajwa kuwa ina mpango wa kuuza nyota wake saba ifikapo Januari mwakani. Nyota hao saba wote...

READ MORE

Bao la Ronaldo Lamliza Mama Yake

MSHAMBULIAJI wa Manchester United, Cristiano Ronaldo baada ya kucheza mchezo wake wa kwanza akiwa na uzi wa Manchester United alimliza...

READ MORE

Cavani Amuachia Jezi Ronaldo

Klabu ya Manchester United imemkabidhi rasmi jezi namba 7 kwa Cristiano Ronaldo ambaye amesajiliwa hivi karibuni. Namba 7 ilikuwa inavaliwa...

READ MORE

Man U Yathibitisha Kukubaliana na Juve, Ronaldo Anarejea

KLABU ya Man United imemkaribisha aliyewahi kuwa nyota wao, Cristiano Ronaldo ambaye anatajwa kurejea tena kwa Mashetani Wekundu.   Manchester...

READ MORE

Man United Yabanwa England, Harry Kane Arejea na Ushindi Spurs

MANCHESTER United wakiwa ugenini jana walijikuta kwenye wakati mgumu baada ya kuambulia sare ya bao 1-1 dhidi ya Southampton.  ...

READ MORE

Mo Dewji Atamani Mkataba wa Man United

Mkataba mpya wa udhamani wa Jezi ambao Klabu ya Manchested United imesaini na Teamviewer umemfanya mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi...

READ MORE

Man United Yaitungua Man City Mbili Kavu

OLE Gunnar Solskjaer, Kocha Mkuu wa Manchester United amesema kuwa vijana wake walipambana kwa hali na mali na kufanikiwa kusepa...

READ MORE

Rooney: United Itatwaa Ubingwa EPL

  MSHAMBULIAJI wa zamani wa Manchester United, Wayne Rooney, amesema anategemea Mashetani Wekundu (Manchester United) watatwaa ubingwa wa ligi kuu...

READ MORE

Pogba awajibu wanaotaka aachwe Manchester United

Kiungo wa Manchester United, Paul Pogba ametuma ujumbe ambao umeonekana kuwa ni kijembe kwa Legendi wa Manchester United, Gary Neville...

READ MORE

Kauli ya Solksjaer Kuhusu Hatma Yake Man U

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solksjaer, amesema makosa yaliyofanywa na mabeki wake yaliyosababisha wafungwe bao 2-1 na Instanbul Basaksehir...

READ MORE

Cavani Aanza Mazoezi, Tayari Kuwavaa PSG

Hatimaye Mshambuliaji mpya wa timu ya Manchester United, Edison Cavani ambaye alisajiliwa dakika za lala salama kutoka Paris Saint-Germain (PSG),...

READ MORE

Man U Yapigwa Bao 6-1 na Tottenham

KOCHA wa Tottenham Hotspur, Jose Mourinho, akiwa amerudi dimbani Old Trafford kama kocha wa timu pinzani ametoa adhabu kali kwa...

READ MORE

Man United Yachezea Kichapo cha Sevilla

KLABU ya Manchester United ilijikuta ikitupwa nje ya michuano ya Europa baada ya kipigo cha bao 2-1 walichokipata kutoka kwa...

READ MORE

Robo Fainali Europa: Wolves vs Sevilla, Man U vs Copenhagen

LIGI ya Europa imeendelea jana katika hatua ya mtoano ya 16 bora ambapo timu za Sevilla, Basel, Bayer Leverkusen na...

READ MORE

Man U Yafunga Kazi kwa Sancho

Jadon Sancho ameripotiwa kuwa tayari ameingia makubaliano na Manchester United na hivyo yupo tayri kudondosha saini kwa kandarasi ya miaka...

READ MORE

Scholes Anavyomfagilia Fernandes

GWIJI wa Manchester United, Paul Scholes, amesifu mchango ulioletwa na Bruno Fernandes klabuni hapo, akisema raia huyo wa Ureno amekuja...

READ MORE

Guardiola Aishangaa Man U

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, ameishangaa Manchester United kwa kuwa nyuma mno kiviwango dhidi ya City na kwamba hakutarajia...

READ MORE

Mtoto (10) Shabiki wa Man U Amwandikia Barua Kocha wa Liverpool

MTOTO wa miaka 10 anayefahamika kwa jina la Daragh Curley, akitokea katika mji wa Donegal, alimwandikia barua meneja wa Liverpool...

READ MORE

Man Utd Imepata Bonge La Mchezaji

HATIMAYE kiungo Bruno Fernandes amekamilisha usajili wake Manchester United kwa dau la pauni milioni 68 (Sh bilioni 203) akitokea Sporting...

READ MORE

Guardiola Ahofia Liverpool Kuvunja Rekodi za City

KOCHA wa Manchester City, Pep Guardiola, ameanza kupata wasiwasi kuwa mwendo huu wa Liverpool unaweza kuvunja rekodi nyingi walizoziweka. City...

READ MORE

Man United Wamezidiwa Ujanja

UNAWEZA kusema kuwa ni pigo kubwa kwa klabu ya Manchester United baada ya staa waliyekuwa wakimwania kwa nguvu kubwa Erling...

READ MORE

Rashford Amfanya Kitu Mbaya Mourinho Old Trafford

BAADA ya kukaa Manchester United kwa takribani miaka miwili, hatimaye jana Jumatano, Jose Mourinho alirejea klabuni hapo.   Mourinho alirejea...

READ MORE

MABOSI MAN UTD WAMPIGIA SIMU

KOCHA mpya wa Tottenham, Jose Mourinho amefichua kuwa mabosi wa klabu yake ya zamani, Manchester United wamempigia simu kumpongeza na...

READ MORE

Man United Yaitungua Chelsea

MARCUS Rashford, mshambuliaji wa Manchestr United amefunga mabao mawili muhimu yalioivusha timu yake kwenye hatua ya Robo Fainali ya Carabao...

READ MORE

MAN UTD YAMTAKA STAA WA SPURS

KOCHA wa Manchester United, Ole Gunnar Solskjaer ameamua atarusha kete yake kumnasa staa wa Tottenham Hotspur, Christian Eriksen wakati wa...

READ MORE

Imethibitishwa! Pogba Kusepa Man U

KIUNGO wa Manchester United, Paul Pogba imethibitika rasmi kuwa anaondoka Manchester United. Wakala wake Mino Raiola juzi aliibuka na kusema...

READ MORE

MAN U YANASA BONGE LA BEKI

MANCHESTER UNITED ipo kwenye hatua za mwisho za kukamilisha usajili wa beki Aaron Wan-Bissaka. Wan-Bissaka anatajwa kama miongoni mwa mabeki...

READ MORE

Zidane Ataka Dili la Pogba Fasta

KOCHA wa Real Madrid, Zinedine Zidane ameupa uongozi wa Real Madrid mtihani mzito baada ya kuwataka kuhakikisha wanamsajili Paul Pogba....

READ MORE

KUTOKA MANCHESTER: Hali Ilivyo Kuelekea Mchezo Dhidi ya BARCA!

Mashabiki wa Machester United wameonesha kuwa na hali ya kujiamini kuelekea mchezo wa robo fainali wa vilabu bingwa Ulaya dhidi...

READ MORE

UEFA YAFANYA MABADILIKO MECHI YA MAN U Vs BARCELONA

BAADA ya droo ya robo fainali Ligi ya Mabingwa Ulaya kupangwa leo na Barcelona kupangiwa kucheza na Manchester United ikianzia...

READ MORE

TFF Yamwambia Bocco Asahau Man United

TAMKO lilitolewa na Bodi ya Ligi Tanzania Bara jana Jumatano, linamaanisha kwamba John Bocco na wachezaji wengine wa Simba hawataiona...

READ MORE

Kocha wa Chelsea Aliyetaka Kuzichapa na Mourinho Aadhibiwa

Mmoja wa makocha wa Chelsea, Marco Ianni, amepigwa faini na Chama cha Soka cha England (FA) kutokana na alivyosherehekea bao...

READ MORE

Zidane Ataja Wachezaji ‘Wake’ Man U, Mourinho Presha Juu

ALIYEKUWA kocha wa klabu ya Real Madrid ya Hispania, Zinedine Zidane,  ambaye hivi sasa hajapata ajira, ametaja baadhi ya wachezaji...

READ MORE

Edwin Van Der Sar Mbioni Kutangazwa Mkurugenzi Man United

Klabu ya Man United iko katika mpango wa kumtangaza Mkurugenzi wa michezo wa timu hiyo baada ya klabu hiyo kushindwa...

READ MORE