×

Tag: Masanja

Polisi Yafafanua Tukio la Mke wa Masanja na Katibu wa Kanisa

JESHI la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam lisema uchunguzi wa awali wa Polisi kuhusu tukio la Katibu wa...

READ MORE

Corona: Masanja Mbele ya DC Katambi “Hata Kanisani Nafanya” – Video

Mkuu wa Wilaya ya Dodoma, Patrobas Katambi amemsamehe mchekeshaji Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ baada ya kuitikia wito wake alioutoa wa...

READ MORE

Kisa Utani wa Corona, Masanja Aitwa Kuhojiwa

MKUU wa Wilaya Dodoma, Patrobas Katambi,  amempa siku tatu muigizaji maarufu nchini, Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji kujisalimisha kituo...

READ MORE

‘Pepo’ la MASANJA Lazua Balaa Campus Night – Video

MWIMBAJI wa nyimbo za Injili ambaye pia ni mchungaji, Emmanuel Mgaya maarufu kama Masanja Mkandamizaji, usiku wa kuamkia leo Jumamosi,...

READ MORE

MASANJA Alivyomuiga MWALIMU KASHASHA SIMBA VS NDANDA – VIDEO

Muigizaji wa vichekesho pamoja ambaye pia ni mwimbaji wa nyimbo za injli Emmanule Maarufu kama Masanja Mkandamizaji jana alikuwepo katika...

READ MORE

MASANJA Afunguka Ishu ya Wema, Amber Rutty na Pepo la Uzinzi – Video

MCHUNGAJI Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ amezungumzia sakata la picha na video za utupu za wasanii Wema Sepetu na Amber Rutty...

READ MORE

SHIGONGO, MASANJA WAMEKULETEA Password ya Mafanikio Yako – Video

MKURUGENZI wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo, Mchungaji Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamiazji’ na Bishop Mwakiborwa wamakuleta SIKU TATU ZA...

READ MORE

Video Mpya ya Masanja Mkandamizaji – Kemea Pepo

MCHUNGAJI Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao Kemea Pepo. Tumekuwekea hapa video mpya zinazofanya vizuri...

READ MORE

MASANJA: KANYE WEST ACHA KUVUTA BANGI

 UNAWEZA kujiuliza inawezekana kweli msanii wa vichekesho ambaye pia ni mchungaji, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ameweza ‘kumfyatukia’ rapa kutoka Marekani,...

READ MORE

LIVE: Mchungaji Masanja Akifanya Maombi Msiba wa Mama wa Shigongo

MCHUNGAJI Emmanuel Mgaya maarufu kwa jina la Masanja Mkandandamizaji amewasili msibani kwa mama wa Eric Shigongo na kupata fursa ya...

READ MORE

MASANJA AELEZA KIFO KILIVYOMFANYA AOKOKE !

DAR ES SALAAM: Aliyekuwa mchekeshaji wa Kundi la ‘Ze Comedy’ Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ ambaye kwa sasa ni mshereheshaji na...

READ MORE

Kisa Penzi la Miss Tanzania… Mbasha Aitikisa Ndoa ya Masanja

  Kisa kikidaiwa kuwa ni penzi la Miss Tanzania 2008, Jacqueline Chuwa ‘Jack’, muimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha...

READ MORE

MAGAZETI FEBR 15: MBASHA ATIKISA NDOA YA MASANJA – VIDEO

KISA kikidaiwa kuwa ni penzi la Miss Tanzania 2008, Jacqueline Chuwa, muimbaji wa nyimbo za Injili, Emmanuel Mbasha, ameitikisa ndoa...

READ MORE

MAOMBI YA MASANJA YAJIBU! APAGAWA AMFANYIA SAPRAIZI MKEWE

ANAJIBU maombi! Wakati ndoa yake ikitimiza mwaka mmoja mwezi huu tangu ilipofungwa Agosti, mwaka jana ndani ya Kanisa la Mito...

READ MORE

Masanja: Nisingeondoka Marekani Bila Kuwaona Watoto Waliopata Ajali

  MMOJA  wa wasanii wa vichekesho waliokuwa wakiunda kundi la Orijino Komedi ambaye kwa sasa ni mchungaji, Emmanuel Mgaya a.k.a...

READ MORE

Orijino Komedi Bye Bye!

DAR ES SALAAM: Hatimaye kundi la vichekesho lililojipatia umaarufu mkubwa nchini la Orijino Komedi, limefikia mwisho kwa kusambaratika, huku chanzo...

READ MORE

Masanja Wali Nyama Yawa Gumzo UDSM (Video+Picha)

KAMPUNI  ya mchekeshaji wa kundi la Orijino Komedi, Emmanuel Mgaya ‘Masanja Mkandamizaji’ wikiendi iliyopita iligeuka gumzo baada ya Masanja kuonekana akiwa...

READ MORE

Masanja Mkandamizaji Afunga Ndoa

  Masanja akimvisha pete mke wake. Mke wa Masanja aitwaye Monica. Gari la maharusi likiwasili kanisani. Dk. Tulia Ackson naye...

READ MORE