Mbunge Taletale Awaombea Wahitimu Mgambo Nafasi 5 Kujiunga JKT Mkuyuni
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro Mhe. Bakari Msurwa amehitimisha mafunzo ya jeshi la akiba wilayani Morogoro. Hafla ya kilele cha mafunzo ya jeshi la akiba wilayani Morogoro imefanyika leo December 15, Mkuyuni na kuhudhuriwa na kamati ya…
