×

Tag: Meli

Majaliwa Aagiza Uhamiaji Kuzuia Paspoti za Wafanyakazi Kampuni ya Gas Entec

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ameagiza idara ya Uhamiaji Mkoa wa Mwanza kuzishikilia paspoti za wafanyakazi wa Kampuni ya Gas Entec...

READ MORE

Shehena ya Mionzi ya Nyuklia Haijafika Dar

Tume ya Nguvu za Atomiki Tanzania (TAEC) imesema shehena iliyokuwa na viasili vya mionzi ya nyuklia iliyokuwa kwenye meli MV...

READ MORE

Serikali Kuifuatilia Meli Iliyobeba Taka-Nyuklia

SERIKALI imesema haina taarifa za kushikiliwa kwa meli ya mizigo iliyobeba taka za nyuklia nchini Kenya ambayo iliripotiwa kuwa njiani...

READ MORE

Bandari Dar Yaweka Rekodi, Meli Yenye Magari 3743 Kutia Nanga

MAMLAKA ya Bandari Tanzania ( TPA) imeandika historia baada ya meli kubwa ya kubeba magari kutia nanga katika Bandari ya...

READ MORE

Meli ya Evergreen Yakwama na Shehena ya Mizigo

Meli ya ‘Ever Green’ inayomilikiwa na Kampuni ya ‘Evergreen Marine Corporation’ kutoka nchini Taiwan imekwama katika mfereji wa ‘Suez’ uliopo...

READ MORE

Serikali Yapeleka Kivuko cha Bilioni 5.3 Mafia Nyamisati

Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA), leo imerejesha furaha na matumaini kwa wakazi wa Mkoa wa Pwani...

READ MORE

Urusi Yatishia Kuilipua Meli ya Marekani

SERIKALI ya Urusi imesema moja ya vikosi vyameli zake za kivita kimebaini kuwepo kwa meli nyingine ya kivita ya Marekani...

READ MORE

Meli, Chelezo vya Bil, 153 Mwanza Ukingoni Kukamilika

KATIBU Mkuu wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo ambaye pia ni Msemaji Mkuu wa Serikali leo ametembelea kuona...

READ MORE

Boti ya Zanzibar 1 Yashindwa Kubeba Abiria Dar

UMATI mkubwa wa abiria Bandari ya Dar es Salaam wameonyesha masikitiko makubwa baada ya boti ya Zanzibar 1 ya Kampuni...

READ MORE

#CoronaVirus: Watanzania Wawili Watupwa Baharini

WATANZANIA wawili ambao majina yao ni Amiri Salamu (20) na Hassani Rajabu (30) walitoswa baharini na Wachina wakiwa wamepewa ‘life...

READ MORE

Mtanzania Atengeneza Meli Yake “Nimetumia Miezi Miwili”

  Dunia inazidi kupanuka na teknolojia inazidi kukua kila kukicha, unaweza usiamini lakini ukweli ni kwamba kijana Mtanzania, mkazi wa...

READ MORE

Meli Mpya MV Victoria Yaanza Kujengwa

WAKATI Serikali ya Awamu ya Tano inayoongozwa na Rais John Pombe Magufuli inaendelea kujenga miradi mikubwa ya kimkakati ya kuelekea...

READ MORE

ZIJUE Ajali Mbaya 10 Za Meli Zilizotikisa Dunia – Video

Licha ya Titanic kuwa mbo cha majini kilichopata ajali na kuuwa watu wengi zaidi katia Historia kuna Meli zingine zilipata...

READ MORE

Breaking: Watu 44 Wafariki, 37 Waokolewa Wakiwa Hoi Mwanza – Video

HABARI zisizothibitishwa zimeeleza kuwa watu kadhaa wamefariki baada ya kivuko cha  MV Nyerere kinachofanya safari zake kati ya Bugorara na...

READ MORE

Bagamoyo: Meli ya Yawaka Moto Bandarini

 MELI mali ya kampuni ya Ocean Enterprises Limited ya Zanzibar imeungua moto wakati ikiwa imeegeshwa kwenye ufukwe ya Bahari ya...

READ MORE

Kumbukumbu ya Kuzama kwa Meli ya MV Bukoba Mei 21, 1996

Meli ya MV Bukoba ikiwa Ziwa Victoria wakati ilipokuwa ikitoa huduma ya usafirishaji kabla ya kuzama. KIUKWELI tarehe kama ya...

READ MORE

Tanzania Yazikana Meli za Korea Kaskazini

WAZIRI wa Mambo ya Nje, Dk. Augustine Mahiga amewafahamisha  mabalozi wa nchi tano ambazo ni wajumbe wa kudumu wa baraza...

READ MORE

JPM Aagiza Usajili wa Meli Mpya Usitishwe Mara Moja – Video

RAIS John Magufuli ameagiza kusitishwa kwa usajili wa meli mpya Tanzania Bara na visiwani hadi hapo itakapotangazwa vinginevyo kufuatia kukamatwa...

READ MORE

Serikali Yazifutia Usajili Meli Zilizopeperusha Bendera ya Tanzania

  Serikali imetangaza kuzifutia usajili meli mbili zilizokamatwa zikisafirisha dawa za kulevya na silaha na kuzitaka kushusha bendera ya Tanzania....

READ MORE

Waliopeperusha Bendera ya Taifa Kwenye Meli Washtakiwa

  WATUHUMIWA wawili akiwemo Mkurugenzi wa Meli ya Lucky Shipping, Issa Haji (39) wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Mkazi...

READ MORE

MELI YA JESHI LA CHINA KUTOA MATIBABU NCHINI

  MELI ya jeshi la majini kutoka China (Navy) na ambayo ni ya pili kwa ukubwa duniani,   imeingia nchini ili...

READ MORE

Shuhudia picha 17 meli kubwa duniani kwa sasa

Pichani juu ni taswira za meli hiyo kubwa kuliko zote duniani. KAMA ulishawahi kuonana na meli kubwa duniani kisha ukalidhika...

READ MORE