×

Tag: Mengi

Harmonize Kumuenzi Mzee Mengi

Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa mwanamuziki Harmonize ametangaza kuja na tamasha lake la #OneLoveConcert lenye dhumuni ya kuchangia na...

READ MORE

Siri ya Mzee Mengi Kuwekewa Mashine Kwenye Moyo

MAREHEMU Reginald Mengi, aliyekuwa mmiliki wa kampuni za IPP, aliwekewa kifaa maalumu cha kudhibiti mapigo ya moyo (pacemaker) wiki chache...

READ MORE

Familia ya Mengi Yashinda Kesi ya Mirathi, Jacquiline Abwagwa

MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imeukataa wosia uliokuwa ukidaiwa kuandikwa na aliyekuwa mfanyabiashara maarufu nchini marehemu Reginald Mengi...

READ MORE

Pigo Vifo Vya Mabilionea Bongo

DAR: Kifo cha aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya Motisun Group ambaye pia alikuwa miongoni mwa mabilionea wachache nchini Tanzania...

READ MORE

Bushoke Amrudisha K-Lynn Kwenye Game

KAMA ilivyokawaida mpendwa msomaji wa kolamu hii ya Yupo Wapi kukuletea waliowahi kuwa mastaa na kisha kupotea, ambapo leo nimekuletea...

READ MORE

Nunua Gazeti la SpotiXtra na Amani kirahisi zaidi hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SPotiXtra  na Gazeti la Amani kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Nunua Gazeti la SpotiXtra na AMANI Kirahisi Zaidi Hapa

Jipatie nakala ya Gazeti la SpotiXtra na Gazeti la AMANI kirahisi zaidi popote ulipo, ndani ya nje ya Tanzania kwa...

READ MORE

Jackline Mengi: Nimezuiwa Kufika Kwenye Kaburi la Mume Wangu

MKE wa aliyekuwa Mkurugenzi wa Kampuni za IPP Media, Jacquiline Ntuyabaliwe amelalamika kuzuiwa yeye na watoto wake kutembelea kaburi la...

READ MORE

Chama cha Wajane Wamtembelea Jacqueline Mengi – Video

UMOJA wa Chama cha Wajane na Wagane nchini wamefunga safari mpaka nyumbani kwa mjane wa marehemu Reginald Mengi, anayefahamika kwa...

READ MORE

Familia Yapinga Mahakamani Wosia Wa Mengi, Mazito Yaibuka!

FAMILIA ya aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited, Marehemu Dkt. Reginald Mengi imewasilisha pingamizi katika Mahakama Kuu, ikipinga...

READ MORE

40 YA MENGI, K- LYNN AFUNGUKA

WaKaTi leo (Jumatatu) aliyekuwa mfanyabiashara bilionea bongo, Dk reginald abraham Mengi, akitimiza siku 40 tangu afariki dunia, mjane wake Jacqueline...

READ MORE

POLISI WAANIKA MAPYA WIZI KWA MENGI NYUMBANI

DAR ES SALAAM: Zikiwa zimepita takribani wiki mbili tangu watu wasiofahamika kudaiwa kuingia nyumbani kwa aliyekuwa mfanyabiashara na Mwenyekiti wa...

READ MORE

Kauli ya Kwanza Nzito ya Jacqueline kwa Marehemu Dkt. Mengi

MKE wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited, marehemu Dkt. Reginald Mengi, Jacqueline Ntuyabaliwe,  kwa mara ya kwanza...

READ MORE

FUNDI ASIYEONA AIBUA MAPYA YA MENGI

K UMBUKUMBU ya maisha aliyoishi mfanyabiashara bilionea marehemu Dk. Reginald Abrahamu Mengi haijatoka miongoni mwa jamii; fundi mlemavu wa macho...

READ MORE

TRILIONI 1.2 ZA MENGI NGOMA NZITO JACK, WANAWE WAHURUMIWA

DAR ES SALAAM: UTAMADUNI wa kuandika wosia kwa Watanzania bado haujawaingia akilini watu wengi hivyo jambo hili linafikirisha pia juu...

READ MORE

RUGE, MENGI WALIVYOKUTANA NA SOMO LA MAISHA YAO DUNIANI!

NI usiku mnene, nipo kwenye mkutano ambao sijui unahusiana na nini. Licha ya kuwa na mwanga hafifu katika ukumbi, nawaona...

READ MORE

Askofu Shoo Awaonya Viongozi, Matajiri Akemea Ubaguzi – Video

MKUU wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT), Askofu Mkuu Dkt. Ferdrick Shoo amewaonya viongozi wa Tanzania na kuwataka...

READ MORE

DKT MENGI APUMZISHWA NYUMBANI KWAO MACHAME – VIDEO

HATIMAYE mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Limited, Dkt. Reginald Mengi umezikwa katika makaburi ya familia yao...

READ MORE

SHIGONGO AUANGANA NA MAMIA KUMUAGA DKT. MENGI

Mkurugenzi Mtendaji wa Makampuni ya Global Group, Eric Shigongo amewasili Moshi na kuungana na mamia ya waombolezaji kumsindikiza mzee wetu,...

READ MORE

Mbowe: Sipendi Unafiki; Kwamba Kuna Makabila Hayawezi Kusaidia Walemavu! – Video

MWENYEKITI  wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe amewataka Watanzania kutogombanishwa na kauli za viongozi hasa za kikabila...

READ MORE

MEMBE: DKT MENGI ALINIPIGA TAFU KWENYE MBIO ZA URAIS 2015

ALIYEKUWA Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, amesema aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Limited,...

READ MORE

WAKATI AKIZIKWA LEO MENGI AACHA FUNZO KUBWA

DAR ES SALAAM: “Jef hivi umewahi kufika katika msiba? Je, umewahi kumuona tajiri akichimba kaburi?” Tafakari kauli hii na Amani...

READ MORE

KUTOKA MOSHI: IBADA YA MAZISHI YA MZEE MENGI – VIDEO

MWILI  wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi,  umewasili katika kanisa la  (KKKT – Usharika wa...

READ MORE

Safari ya Mwili wa Dkt Mengi Kuelekea Machame – Video

Mwili wa Aliyekuwa mwenyekiti wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi, umewasili salama nyumbani kwake Machame, leo Jumatano, Mei 8,...

READ MORE

Mwili wa Dkt Mengi Wawasili Kijijini Kwao Machame – Video

Mwili wa marehemu Dkt. Reginald Mengi tayari umekwishawasili nyumbani kwake, Nkweseko Machame ambapo mwili utalala kabla ya kesho Kwenda ibadani...

READ MORE

LIVE KUTOKA MOSHI: MWILI wa Dkt MENGI Wawasili Kilimanjaro

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Meng,i umewasili mkoani Kilimanjaro katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...

READ MORE

Mwili wa Dr. Mengi Ulivyoagwa Karimjee Dar (Picha + Video)

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi, umeagwa leo Mei 7, katika viwanja vya Karimjee...

READ MORE

MWILI WA DKT. MENGI WAAGWA KARIMJEE – VIDEO

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP Media, Reginald Mengi, umeagwa leo Mei 7, katika viwanja vya Karimjee...

READ MORE

Rais Magufuli Amwaga Machozi Akiaga Mwili wa Dkt Mengi – Video

RAIS  John Magufuli ameshindwa kujizuia na kujikuta akimwaga machozi wakati wa kuaga mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP,...

READ MORE

Rais MAGUFULI Alivyowasili KARIMJEE Kumuaga DKT. MENGI – Video

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Magufuli na Makamu wa Rais, Mama Samia Suluhu Hassan, wakiwa katika...

READ MORE

Mwili wa Dkt Mengi Ulivyowasili Karimjee – (Pichaz + Video)

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi,  umewasili  katika Ukumbi wa Karimjee, ulioko Posta jijini Dar...

READ MORE

WANANCHI, VIONGOZI WANAVYOWASILI KARIMJEE KUMUAGA DKT MENGI

                                  MACHOZI YATAKUTOKA: Mwili...

READ MORE

Maskini Jacqueline Mengi… Utamwonea Huruma – Video

HUZUNI na majonzi makubwa! Jacqueline Ntuyabaliwe Mengi ambaye ni mke wa aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, marehemu Dkt Reginald...

READ MORE

MSAFARA WA MWILI WA DKT MENGI KUELEKEA LUGALO – VIDEO

SIMANZI, vilio na majonzi vimetawala kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wakati wakiupokea mwili wa aliyekuwa Mwenyekiti wa...

READ MORE

LIVE: MWILI WA DKT MENGI WAWASILI AIRPORT, VILIO VYATAWALA!

MWILI wa aliyekuwa Mwenyekiti Mtendaji wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi,  umewasili nchini katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa...

READ MORE

Kaseja: Mzee Mengi Alimzawadia na Jide

KIPA mwenye heshima kubwa kwenye soka la Tanzania, Juma Kaseja amesema kifo cha Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dk Reginald...

READ MORE

MZEE MWINYI: MENGI Ameondoka Dah! – Video

Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Dkt. Ali Hassan Mwinyi akiwa ameongozana na mkewe wamewasili msibani nyumbani kwa marehemu Dkt....

READ MORE

KABURI LA DKT MENGI LAANDALIWA KIJIJINI KWAO

MAANDALIZI ya kaburi atakamopumzishwa aliyekuwa Mwenyekiti wa Makampuni ya IPP, Dkt. Reginald Mengi, yanaendelea nyumbani kwao katika Kijiji cha Nkuu...

READ MORE

K-LYIN SIRI NZITO KIFO CHA MENGI

  HAKUNA mtu mwingine wa kumuuliza siri ya kifo cha mfanyabiashara maarufu nchini, bilionea Dk. Reginald Abraham Mengi (75) zaidi...

READ MORE