The House of Favourite Newspapers
gunners X
Browsing Tag

MENINA

Menina Asimulia Video Yake Chafu

MWIGIZAJI na msanii wa Bongo Fleva nchini, Menina Abdulkarim ‘Meninah’ hatimaye jana alijisalimisha kwenye Ofisi za Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kwa ajili ya kutoa maelezo ya video na picha zake za utupu zilizozagaa kwenye mitandao…

Meninah Aibu Yake!

NI aibu yake! Ndiyo maneno yaliyowatoka wengi baada ya kuona video chafu inayodaiwa ni ya msanii wa Bongo Fleva na U-MC Bongo, Menina Attick ‘Meninah’ kuvuja mitandaoni. Baada ya video hiyo inayomuonesha Meninah akifanya mambo…

MENINA AGEUKIA KWENYE FILAMU

BAADA ya kimya kirefu kwenye anga la muziki Bongo, mwanamuziki aliyeibukia kwenye Shindano la Bongo Star Search (BSS 2012), Meninah Atik amesema ili kukuza kipaji chake cha sanaa ameamua kugeukia kwenye filamu.  Akipiga stori…