Mkuchika: Aanika Alivyoagana na JPM Kabla ya Kifo ‘Niliugua Pingili’
WAZIRI wa Nchi Ofisi ya Rais Ikulu, George Mkuchika leo amerejea bungeni baada ya kukosekana kwa miezi mitatu huku akisema kauli ya mwisho aliyotamkiwa na hayati John Magufuli ni 'nenda ukatibuwe ukirudi tuchape kazi.'
…
