
Browsing Tag
MLIMA WA MOTO
Mama Rwakatare Atoa Siri Uponyaji Magonjwa – Video
MCHUNGAJI Dk. Getrude Lwakatare wa Kanisa la Mlima wa Moto, Mikocheni B jijini Dar es Salaam, akiwa na viongozi wa kanisa hilo usiku wa kuamkia leo Desemba 14, 2019, wamefanya Kongamano la Shilo katika Kanisa la Mlima wa Moto.
VIDEO: Tazama Shuhuda Za Wagonjwa Kutoka Mlima Wa Moto
Usiku wa kuamkia leo Desemba 14, 2019, umefanyika mwendelezo wa Kongamano la Shilo lililofanyika katika kanisa la Mlima wa Moto, Mikocheni, jijini Dar es Salaam, chini ya Mchungaji Getrude Rwakatare ambalo lilijikita katika uponyaji…
VIDEO: Sherehe ya Aina Yake PASAKA Kutikisa Mlima wa Moto
MCHUNGAJI Kiongozi wa Kanisa la Mlima wa Moto, Bishop Dkt. Getrude Lwakatare, anawakaribisha waumini na wananchi wote katika ibada ya Jumapili ya Pasaka itakayofanyika katika kanisa hilo lililopo Mikocheni B jijini Dar es Salaam, ili…