Mpango: Muungano Wetu ni Zaidi ya Hati ya Muungano
Makamu wa Rais, Dk. Philip Mpango, amesema ushirikiano na mwingiliano wa wananchi wa pande zote za muungano unadhihirisha kuwa Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni zaidi ya hati ya muungano na orodha ya mambo ya muungano.
Dk. Mpango…
