Mwizi Aogeshwa Maji ya Tope, Akimbia Kipigo Kutoka kwa Wananchi, Polisi Wamuokoa
KIJANA ambaye hajafahamika haraka jina lake anayekadiriwa kuwa na umri kati ya miaka 25 mpaka 30 mkazi wa Igoma halmashauri ya mji wa Njombe amenusurika kifo kutoka kwa wananchi wenye hasira kali katika mtaa wa Mpechi eneo la Lutilage…
