Hadithi Mpya ya Eric Shigongo – I miss My God! (Namkumbuka Mungu Wangu)
I miss My God! (Namkumbuka Mungu Wangu)
Mtunzi: Eric Shigongo;
“Oh My God! It is a ruptured pregnancy!”(Mungu wangu! Kumbe mfuko wa uzazi umepasuka!) aliongea kwa sauti Dk. Namshitu Fundikira, bingwa wa upasuaji wa…
