ALIYEKUWA Mbunge wa Muhambwe mkoani Kigoma, Mhe. Atashasta Nditiye, amefariki dunia katika Hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma leo Ijumaa, Februari 12, 2021, alikokuwa anauguzwa baada ya kupata ajali siku ya Jumatano. Kufuatia…
Naibu Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Atashasta Nditiye, amesema tuhuma za Muigizaji Nguli Nchini, Vincent Kigosi 'Ray' akidai kuibiwa Akiwa ndani ya Airport, amezisikia lakini ameshangazwa na kitendo cha msanii huyo kwenda…