Nelly Muosha Magari wa Posta-31
Wiki iliyopita niliishia pale yule mama mtu mzima aliyetokea kumpenda Nelly ghafla alipomwuliza Ipyana alikuwa kaenda wapi Nelly akamfahamisha alitoka kidogo. Hakuishia hapo, akamwuliza kama alikuwa akishirikiana naye kuosha magari…
