Carabao Cup: Man United Yapangwa Kukipiga Na Newcastle United
Baada ya Newcastle United kufanikiwa kuiondosha Manchester City katika Raundi ya 3 ya CarabaoCup, Klabu hiyo imepangwa kucheza ugenini kwenye Uwanja wa Old Trafford dhidi ya Manchester United katika Raundi ya 4
Michezo ya Raundi hiyo…
