HAWA JAMAA WATAUANA UEFA KESHO, JUMATANO
WIKI ya Ligi ya Mabingwa Ulaya imerejea. Mechi za wiki hii ni muhimu, kwani kuna timu kubwa zipo hatarini kutupwa nje.
DONDOO MUHIMU
1) Kama Liverpool itashinda dhidi ya PSG jijini Paris halafu Napoli ikashinda dhidi ya…
