Nyoka Asababisha Emirates Kuahirisha Safari ya Ndege
Safari ya ndege ya Shirika la Emirates ya kutoka Oman kwenda Dubai imesitishwa baada ya wahudumu wa ndege hiyo kukuta nyoka ndani ya ndege.
Safari ya ndege nambari EK0863 kutoka Muscat ilisitishwa baada ya wafanyakazi wa kupakia mizigo…
