Rais Amuagiza Prof. Elisante Kusimamia Haki
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan amesema mmoja ya kazi ya Mtendaji Mkuu wa Mahakama aliyemuapisha leo Prof. Elisante Ole Gabriel ni kusimamia haki kwa kuhakikisha magereza hayajai watu wasio na makosa.…
