Rais Samia Alilia Usawa wa Kibiashara Baina ya Oman na Tanzania(PICHA+VIDEO)
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan amesema kuna kila haja ya kuwa na mbinu mbadala juu ya usawa wa kibiashara kati ya Nchi ya Oman na Tanzania.
Rais Samia ameyasema hayo akiwa nchini Oman kwenye…
