Magauni Yamtesa Pam D
MSANII wa Bongo Fleva Pamela Daffa ‘Pam D’ amekiri kutamani kuvaa magauni kama wanawake wengine ila bado anapata shida kwa mazoea ya kuvaa nguo za kiume.
Pam D akichonga na Full Shangwe alisema kuwa, anapata wakati mgumu kuanza…
