Paraguay: Waandamanaji Wamelichoma Moto Jengo la Bunge Lao
PARAGUAY: Waandamanaji nchini Paraguay, wamevamia jengo ya bunge la nchi hiyo na kulichoma moto wakipinga hatua ya bunge la senate la nchi hiyo kukutana kwa faragha, kupiga kura ya siri na kupitisha mswada wa kufanyia marekebisho kipengee…
