The House of Social Media
gunners X
Browsing Tag

petit

Esma, Petit Gari Limewaka

GARI limeweka! Ndiyo sentensi inayotumika kwa watalaka, Esma Khan na Hamad Manungwi ‘Petit Man’. Hii ni kufuatia penzi lao kusemekana limerejea kwa kasi ya kimbunga huku wakidaiwa kupika na kupakua kama zamani. Esma ambaye…

Linah, Petit Man Live!

AMA kweli mastaa hawaishiwi vimbwanga! Hayo yalidhihirika usiku wa kuamkia Jumamosi iliyopita baada ya staa wa kike wa Bongo Fleva, Esterlina Sanga ‘Linah’ kudaiwa kutelekeza mwanaye mchanga na kunaswa akibanjuka na jamaa ambaye ni…

Petit Man ajitosa kwa Dada wa Kiba

MFANYAKAZI wa kampuni inayomilikiwa na Wema Sepetu, Endless Fame, Petit Man Wakuache amenaswa akijiweka karibu na dada wa Ali Kiba, Zabibu Kiba kiasi cha kuzua minong’ono kwamba huenda alikuwa akimtongoza. Ubuyu huo ulinaswa moja kwa moja…